Bongo movies bwana, du!

Irene+Uwoya%252B+JB.JPG

jaman hata kama wanaigza,ila hyo sehem ni sensitive xana,hvi kipande hki unaweza kukiangalia walau na mtu unayeheshmiana nae?
Let say ur mum,ur father,or mum n father in Law,ua daughter o son,ur sista or youngbro?
 
jaman hata kama wanaigza,ila hyo sehem ni sensitive xana,hvi kipande hki unaweza kukiangalia walau na mtu unayeheshmiana nae?
Let say ur mum,ur father,or mum n father in Law,ua daughter o son,ur sista or youngbro?

Ntapokea simu niende nje kuzungumza mpaka scene ipite.
 
wewe mtoto si ndiye unayetaka kazi ya usalama wa taifa? mbona maadili yako yana utata

Kazi usalama wa taifa na lile neno alilondika nime..... havihusiani mzee, we mpe kazi tu, husimfundishe mtoto wa watu uoga, kwani waliopo ikulu hawatakiwi ku di...sha si ndo mtoto anaonekana yuko lijari.
 
Hiki ndicho Kanumba amemzidi Hayati Jenerali Kiaro. Na ndio mchango tunaoambiwa ameuleta kuiinua Tanzania. Watoto wetu hususan wa shule za kata ndio mashabiki wakubwa wa matakataka haya.

Haya mapaja plus magazeti ya Shigongo iz iko tu maendeleo
 
mh, hawa jamaa uasherati tu, eti wanafunza janii

Mkuu haya mambo yapo hata kabla ya Bongo movie, tumeumbwa ktk njia ya ajabu sana, ukitaka kuamini wachukue watoto wadogo wakike na wakiume hata wa mwaka m1 kawafungue mahali ambapo hawaoni binadamu wengine wala movie wawe wawili tu, nakuhakikishia kabla ya miaka 20watakua washazaa,
 
Kawaida tu hapo kwa nyuma wapo zaidi ya watu 10 wanawaangalia na usikute ndikumana na yeye alikuwepo anaangalia mali zake!

Mkuu kama umeshawahi kuona back-stage ya movie za blu, kuna kuwa na watu kibao pia. Ila mtu analiwa kama kawaida, sasa wasemaje kuna watu 10? Ni mtazamo tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom