Bongo Movie wamsusia Wema msiba

Nasikia imetokea jion ya leo uko arusha sakina, joka aina ya chatu lilikutwa mlangoni ndani ya geti limefunikwa kitambaa cheupe na maneno ya kiarabu na wafanyakazi wa ndani ya hiyo nyumba, kwa mshtuko wakampigia simu boss wao kumjulisha kuhus huyo nyoka, cha kushangaza kama sio kusikitisha huyo boss akawaambia wasimuue huyo nyoka ni mtoto wake wa kwanza, nasikia hilo joka lilitokea chumbani kwa huyo mama, na inasemekana huyo mama ni tajir sana anamilik kampuni ya clearing n fowarding pamoja n mali NY engine

Linatishaje. Nahama hapo sirejei tn hata kama nalipwa milioni. Dduh
 
Ndo ivo binami, ivi umepata umbea wa lile chatu la arusha??, inasemekana ni mtoto wa mwenye nyumba hilo chatu, nimetetemekaje??

Yaani wewe acha tu nilitetemeka hatari,sasa mbona walimuua?huyo mtoto wa huyo mama yupo hai au alishakufa?kama alishakufa basi alimtoa kafara maskini!!!!Matajiri ni wakuogopwa sana
 
Back
Top Bottom