sheby dunia
Member
- Jul 12, 2018
- 78
- 83
Pia wenzetu wanatumia sana story za kwenye vitabu na kuzitengenezea movies, hapa kwetu kusoma vitabu ni ishu kubwaHawana pesa za vifaa kazi mkuu, story rahisi ni mapenzi mapenzi tu ndo hazina gharama kubwa sana.
Halafu nchi za wenzetu wako advanced kwenye mambo mengi, na pia movies zao nyingi zinabase kwenye true events zilizoshaga tokea huko wanatwist kidogo tu coz hata bajeti unawaruhusu kufanya chochote. Serikali inawapiga tafu.
Sasa hapa movie ya mapigano wanatumia bunduki toy kabisa kabisa aisee halina hata uhalisia unaona kabisa hili plastic hili.
Kweli tupu mkuu story zao nyingi wanatoa vitabuni ama visa vya kusadikika vilivyosisimua wao wanatengenezea movie.Pia wenzetu wanatumia sana story za kwenye vitabu na kuzitengenezea movies, hapa kwetu kusoma vitabu ni ishu kubwa
Kweli tupu mkuu story zao nyingi wanatoa vitabuni ama visa vya kusadikika vilivyosisimua wao wanatengenezea movie.
Kwa hapa sijui kama wanafanya ivo aisee.
Kama ni mpenzi wa vitabu basi hutashangaa nikikwambia tuna watunzi wengi nguri na mahili wa vitabu. Walikuwepo na bado wapo vijana wengine wadogo wanachipukia kwenye hiyo sanaa.Kufanya adaptation ya kitabu kuwa movie inahitajika upewe ruhusa na wenye copyrights ukiachana na hivyo Tz tuna waandishi wangapi wazuri wa vitabu vya aina hivyo?
Tafsiri ya kipaji cha kuigiza kwa hapa kwetu ni uwe na makelele na maneno mengi kama cherehani baas kazi umepata..