Bongo Movie mnashida gani?

Bongo Movie mnashida gani?

Bongo Movie. Imekuwa kama ka closed society fulani. Hakuna talents mpya. Wanaangalia majina ya watu wale wale. Wanaingizwa watu kwa matakwa nje ya vipaji halisi. Unamwona MC maarufu naye mwigizaji lakini ni dhahiri hawezi.
Vipaji vipo mitaani kwa Director producer na Director serious.
Umempiga kijembe Gara B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama kuna sehemu nimesema TV miaka hiyo ya akina Yombayomba. Hii nimeangalia home kama cinema. Siyo kwenye TV elewa tofauti yake. Ndo maana nimeshaelewa shida ipo wapi. Miaka ya 80s sisi tunaangalia sinema home. Ile mikanda inazunguka kama picha za negative. Mnaweka shuka jeupe ukutani. Sasa nimeelewa shida ipo wapi. Wewe endelea kuangalia bongoe movie bob.
Anhaa kama uliwahi kuwa mmoja wa waangaliaji wa mikanda ya Cinema ya Nega hapo tunaweza tukaanza kuongea pamoja.......Kwa sababu nilijua hawa vijana wa Milenial ambao wanajifanya wanajua..

Ila kwenye bongo muvie kiukweli Wanajitahdi sana sio uongo hatuna miaka mingi kama wenzetu ila kuna baadhi yao wanafanya kazi vizuri japo huwezi kuilinganisha na ulaya na marekani
 
No. Mimi nimeanza kuangalia cinema kabla ya hizi videos. Negative zinazunguka hivi tumekaa sebuleni mzee ndo ana control. Ndo maana nikakutajia habari za chale mnene na chale mwembamba.
 
Kuna mambo mengi hawawezi. Ndo maana nikakuambia Kidedea miaka ile waliigiza vizuri zaidi kuliko hawa wa sasa. Wanafoka foka tu na kutoa macho. Na kiingereza chao kibovu. Yaani wanaongea wakionesha kabisa wana igiza. Na lazima waweke ujinga wakiamini ni kichekesho.
 
Mkuu waigizaji wa Lamata wote Ni waigizaji Maarufu na ni watu wanaoheshimika sana kwenye jamii, Kwenye Juakali walishawahi kuigiza mawaziri humo waliomo madarakani na hata Watu waliokuwa Public figure wakubwa bado wanaigiza..

So ni chaguo lako tu mkuu..
Na mara nyingi watu wanaoponda bongo Movie ya sasa ni wale ambao hata Muvi za nje hawazijui zaidi ya Kikorea tu...
Watu tunaangalia movie zote Za nje ,Series zote za nje na nakuhakikishia kwa Ujuzi wangu wa kuangalia muvie almost asilimia 70% ya movie nyingi za sasa zinazotoka zina credibility ya ubora unao weza kufafanana na movie za nje..
Unless huangalii movie za nje
With all due respect. Movie zipi hizo ambazo umesema 70% zinaelekeana credibility na movie za wenzetu?

Mkuu ebu kuwa serious basi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
No. Mimi nimeanza kuangalia cinema kabla ya hizi videos. Negative zinazunguka hivi tumekaa sebuleni mzee ndo ana control. Ndo maana nikakutajia habari za chale mnene na chale mwembamba.
Na ndo maana ulipotaja nikajua huyu lazma wa enzi hizo maana vijana wa siku hizi hawazijui
 
Hawa jamaa miaka kama 12 sijawahi waangalia siku za Hivi karibuni nilitumiwa picha na wife akisema hili ni jini la bongo movie. Nikajua ni utani wa bibie.

Basi Kwa siku za Hivi karibuni nikasema Wacha Nami nishuhudie vioja Hivi vya bongo movie asee niliishia kulala tu hamna ujuzi wowote uliongezeka zaidi ya kupoteana na kupoteza mvuto kabisa.

Ile tamthiliya sikuijua hata jina japo waingizaji au waandaji wote ni wazoefu mle lkn kinachofanyika hakieleweki.

Zamani kwenye miaka ya 2007.... Ray kigos na Steve kanumba walikuwa wanafanya vizuri kweli.

Tamthiliya kama
More than pain
White maria
Big daddy
Uncle JJ
Magic house
Oprah
Dar to Lagos
Nk. Hizi Hadi waleo Huwa najikumbushia hakika huyu jamaa alikuwa anajua haswaa.

Pamoja na kukaa muda mrefu kwenye game walioachwa haajajifunza kitu.

Hii ndio picha niliyo tumiwa na wife akidai ni jini aliona kwenye tamthiliya kwenye bongo movie.

View attachment 2838222
Mimi toka 2008 sijawahi kuangalia tena bongo movies
 
Tosh Gitonga’s New Series ‘Volume’ Debuts On Netflix​

4 Jan 2024 — While chasing his dream of making a living through music, a talented young man from humble origins ..... Set in Kenya, Volume is the story of an up-and-coming rapper with a crew, which includes Smallz and Castro, and together they try to 'make it' in a place where the punishment for one's mistakes is pretty harsh...

Trailer

View: https://m.youtube.com/watch?v=MTdbi5UNSUs
 
Back
Top Bottom