PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,208
- Thread starter
- #61
Mkuu ni sawa lkn angalao zilikuwa Zina shawishi na kuonyesha maisha halisi ya jamii ya kitanzaniaPharaohMtakatifu, hizo movie za zamani unazozisifia nazo hamna kitu, kwasababu ni tamthilia ndiyo maana unaziona zina uhalisia. Ukitaka kuamini kwamba hazina lolote, zingekuwa action movies ungejionea madudu.
Watanzania tunachoweza sisi ni tatmthilia (zile za kupiga stori vibarazani) siyo action movies. Movie zetu bajeti ni ndogo sana kwa action movies. Hata hizo tamthilia bado zina makosa sana, siyo kwa waigizaji wala maproducer, kote kuna makosa. Waigizaji hawana uhalisia kabisa na waongozaji utaona mwanga wa picha unaongezwa na kupunguzwa, sauti ya soundtrack iko juu kuliko maongezi. Mbaya zaidi movie karibia zote za siku hizi utakuta soundtrack zinafanana. Kwenye scene sasa, scene za huzuni wanaweka soundtrack za furaha, scene za adventure wanaweka soundtrack za huzuni.
Waandaaji wa filamu hapa TZ hawajui wanachofanya, maadam mkono uingie kinywani wanenepeane na wapate umaarufu mtaani basi imeisha hiyo. Hawana tofauti na wanasiasa wengi walafi, wajimilikishe wao tu basi imeisha hiyo.
Movie kama Uncle JJ unaona kabisa Watoto wanavyoweza lisishwa uchawi. Angalia movie ya father James Jinsi kanumba alivyo mla sister na uhalisia wake ulivyo na jinsi jamaa alivyokuwa anapangilia matukio unaweza Angalia zaidi ya mara7 Bado huchoki!
)
sikuwezi mkuu