Watafute story writers wakali
Watafute script writers wakali.
Selection ya wahusika na uhusika wao (kuna mtu anapewa role ya kuplay mpaka unashangaa walikosa mtu sahihi au ni uelewa mdogo kwa anayefanya hii selection?

)
Budget.....Hapa ipo sehemu mbili, Budget ya movie na Budget za kununulia story....... (kama hawana watafute sponsors iwe ni nje au ndani ya nchi....kuna watu mpunga wanao na hawana pa kupeleka)
Kuna dada nilikutana naye akawa ananipa details za baadhi ya watu maarufu ambao wamemtapeli story zake na wamegoma kumlipa halafu anaona idea zake zinatumika kwenye movies zinazo rushwa live nilichoka.
Mtu kama Ray Kigosi anaweza kuwa moja ya watu ambao wanajua kuplay role wanazopewa kwa 100% huwa hakosei ila anaplay hiyo role kwa story ipi?
NB
Hata dialogue zinazowekwa kwenye story nyingi hazivutii kuziangalia mara mbili mbili.....Dialogue inaweza ikaifanya movie kuwa kali sana kama na story yake ni kali.
Kanumba alionekana kuwa beast kwenye industry kwa sababu jamaa alikuwa ni story writer hatari sana na alikuwa anajua hasa kuchagua actors sahihi na role ambazo wanatakiwa kuplay kitu ambacho kimewashinda wengi kwa sasa.
Kuna mengi sana ya kukaa kushauriana ila nani atakusikiliza? Wakubali kushauriwa na kupata ideas kutoka kwa watu ambao wapo nje ya zone yao sometimes.
Kuna actor mmoja niliwahi kumfuata nilikuwa na story moja kali mno na nilitaka nimpe bure kabisa .....nikashangaa kumbe inatakiwa nianze kubembeleza sana ndipo nisikilizwe





nilibaki namshangaa.
Nilikaa naye kwa dakika 5 kuongea naye honestly kwa maelezo yake yalivyokuwa sikuwahi kurudi tena.
KUNA MUDA SANAA NI TAALUMA sio tu OCCUPATION.....watafute wataalamu wawasaidie
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app