Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,569
- 95,219
Ni wewe avatar yako inasadifu hilo 🤣🤣🤣Sio mimi bwana usinichoshe [emoji2957]
Ni wewe avatar yako inasadifu hilo 🤣🤣🤣Sio mimi bwana usinichoshe [emoji2957]
🤣🤣🤣🤣 khaaaaaa!!!Sio mimi
Unafikiri ningekuwa maarufu kama clam ningekuwa najisumbuwa kuchat na watu wabishi kama nyinyi [emoji13][emoji28][emoji7]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaa!!!
Sasa we clam sijui una umaarufu gani?? Me leo ndo mara ya kwanza nakusikia!!
Wewe fata ushauri wangu, hizo kazi zako peleka Mbezi na shekilango kwenye office za mabus uone utakavyotoboa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaa!!!
Sasa we clam sijui una umaarufu gani?? Me leo ndo mara ya kwanza nakusikia!!
Wewe fata ushauri wangu, hizo kazi zako peleka Mbezi na shekilango kwenye office za mabus uone utakavyotoboa
Am real sure ujui chochote kwenye sanaa kama unahis kanumba alkua bora kisa alkua anaigiza mapenz sjui comed my frnd u know nothing about it.. iko hiv msanii ukishajijua ww n msanii characheter yoyote utakayokutana nayo kwenye scne iwe unatakiwa kuiperfom vyema na kuuvaa uhusika mpka anaekuangalia aamni ww ndio huyo unaemwgza sio leo pasta myamba umwambie acheze kama daktar akwambie mm sijawah kua daktar ila naweza sana kuacheza kma pasta apo itakua ww sio msanii boraAcha ni kuongeze Kitu fulani my friend
Even kanumba wasn’t Better kuliko waigizaji fulani hapa nchini
Unajua why watu walisema kanumba was flag of Tanzania movie ni kwasababu ya watu ambao walikuwa wana msapoti walikuwa wengi kuliko waigizaji wengine
Pia alijua jinsi gani ya kuendana na mazingira some Time alikuwa comedia kwenye filamu zake
Alikuwa romatic
Alikuwa bad boy and normal boy
Alijua kubadirika kutokana na mazingira
Kwa isarito![]()
![]()
kucheka tu kwenye filamu kwake ni shida![]()
Mtu yupo serious mda wote kwenye filamu utafikiri amelishwa sumu ndo awe bora
Hapana bwana kuwa serious kidogo ndugu yangu
Am real sure ujui chochote kwenye sanaa kama unahis kanumba alkua bora kisa alkua anaigiza mapenz sjui comed my frnd u know nothing about it.. iko hiv msanii ukishajijua ww n msanii characheter yoyote utakayokutana nayo kwenye scne iwe unatakiwa kuiperfom vyema na kuuvaa uhusika mpka anaekuangalia aamni ww ndio huyo unaemwgza sio leo pasta myamba umwambie acheze kama daktar akwambie mm sijawah kua daktar ila naweza sana kuacheza kma pasta apo itakua ww sio msanii bora
Kwa sisi ambao tumo kwenye tasnia, tunajua kuwa Bongo movie ilishuka kwasababu teknolojia ya kuuza filamu kwa dvd na VHS ilipitwa na wakati soko likafa, kutengeneza muvi ikawa hasara, hadi sasa bado ni hasara.Baada ya marehemu Steven Kanumba kufa Bongo movie ilipoteza mvuto wake. Ikapoteza ubora wake kwasababu ambao walibaki walishindwa kwenda na ubora ule ule marehemu Kanumba alikuwa nao.
Ndo kitu ambacho kilipoteza ubora na mvuto wa bongo movie. Baada ya miaka 13+ bila Kanumba ndo ametokea kijana uyu mdogo kabisa Clam Vevo kuja kajaribu. Kuendeleza ubora ule ule Kanumba alikuwa nao.
Kuna kipindi pia Nigeria nao walipoteza ubora wao Baada ya kizazi kile cha akina Ramsay kupotea ambao walitokea hawakuwa na ubora wowote Nigeria movie zikapoteza mvuto.
Wakatokea vijana wawili ambao kwasasa wana peperusha vizuri bendera ya Nigeria vizuri kwenye movie. Na vijana ao ni Chidi Dike. Na Tobi Bakare.
Naamini Clam Vevo kwa umaari wake wa kuigiza anaweza kurudisha ubora wa bongo movie
Sawa clam na id yako ya jfMimi sio View attachment 2781108
Kamfuate Instagram uende kumpa huo ushauri wako
Humjui ndio mana nakwambia ww sanaa umevutwa apa juu juu tu kila kona kuna ivyo vkmera 7D mkipeana scne mbil tatu na akaunt zenu za utube bas mnaona mnaijua sanaa haya ngoja tuishie hapa ila sku ukihtaj msaada wa kukua ki sana usisite kuja Pm😂 ntakusaidiaSasa isarito kuna characheter ambazo haziwezi