Bongo movie imerudi kwenye ubora wake sasa

Bongo movie imerudi kwenye ubora wake sasa

Baada ya marehemu Steven Kanumba kufa Bongo movie ilipoteza mvuto wake. Ikapoteza ubora wake kwasababu ambao walibaki walishindwa kwenda na ubora ule ule marehemu Kanumba alikuwa nao.

Ndo kitu ambacho kilipoteza ubora na mvuto wa bongo movie. Baada ya miaka 13+ bila Kanumba ndo ametokea kijana uyu mdogo kabisa Clam Vevo kuja kajaribu. Kuendeleza ubora ule ule Kanumba alikuwa nao.

Kuna kipindi pia Nigeria nao walipoteza ubora wao Baada ya kizazi kile cha akina Ramsay kupotea ambao walitokea hawakuwa na ubora wowote Nigeria movie zikapoteza mvuto.

Wakatokea vijana wawili ambao kwasasa wana peperusha vizuri bendera ya Nigeria vizuri kwenye movie. Na vijana ao ni Chidi Dike. Na Tobi Bakare.

Naamini Clam Vevo kwa umaari wake wa kuigiza anaweza kurudisha ubora wa bongo movie

Nyie ma-house girls kumbe mko mpaka JF?
 
wameacha kuigiza blabla za mapenzi na uchawi? Yapo maudhui mengi tu na sio mapenzi kila muvi
 
Umeamua kuja kujipigia promo mwenyewe 🤣🤣🤣
 
Katoa movies ngapi mpaka useme amefufua sekta ya filamu?

Hiyo thumbnail yenyewe inaonyesha graphics mbaya aliyeweka magamba ya nyoka ni designer wa mchongo. Ingekuwa kwaya sawa.

Ungeweza kumtambulisha bila kumpa sifa zisizo zake
sahihi, lakini si kwamba kafufua sema kaongeza chachu kwenye sanaa ya uigizaji ukilinganisha na mauzo yake
 
Mkongo wa wapi papaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiswahili kimenyooka kabisa au wa bonyokwa!!

[emoji13][emoji2957] kiswahili kunyooka ndo siwezi kuwa mkongo [emoji12][emoji22][emoji2][emoji1]
 
wameacha kuigiza blabla za mapenzi na uchawi? Yapo maudhui mengi tu na sio mapenzi kila muvi
Sa hv mapenzi watu wameyachoka hasa wanaume , wameona ni drama tuu , ili upate viewers sa hv inabd uigize vtu vya kutisha Tisha kama uchawi hv hapo ndo wataona stress zao zitapungua ... Dogo Clam namkubali sema ana kaushamba flani Ka mafanikio Ila kama ni strategy yake ili atrend fresh unyama
 
Promo ipi kwa mtu ambaye yupo promoted tayari [emoji38][emoji28][emoji1][emoji2]
Wengine hata tulikuwa hatumjui na humu Jf leo ndio mara ya kwanza kuandikwa habari zako. Hongera, utaongeza viewers wako.
 
Dah kama umeona huyu dogo anaweza kufaninshwa na kina kanumba bas uzjui ethic za sanaa.. sanaa sio kua na swaga kama za uyo dogo ambae hata kwenye comed bado anajitafuta kama unamansha vjana wanaoikuza sanaa chukua bas hata kina nawanda,Isarito denis luis lasway idrs mohamed kama kwel ww n mfuatiliaj wa sanaa utaelewa namansha nn. N haki yako kumprom dogo
 
Acha ni kuongeze Kitu fulani my friend
Even kanumba wasn’t Better kuliko waigizaji fulani hapa nchini
Unajua why watu walisema kanumba was flag of Tanzania movie ni kwasababu ya watu ambao walikuwa wana msapoti walikuwa wengi kuliko waigizaji wengine
Pia alijua jinsi gani ya kuendana na mazingira some Time alikuwa comedia kwenye filamu zake
Alikuwa romatic
Alikuwa bad boy and normal boy
Alijua kubadirika kutokana na mazingira

Kwa isarito [emoji16][emoji1][emoji2][emoji3] kucheka tu kwenye filamu kwake ni shida
Mtu yupo serious mda wote kwenye filamu utafikiri amelishwa sumu ndo awe bora
Hapana bwana kuwa serious kidogo ndugu yangu
 
Hili ni tangazo la biashara? Huyo VEVO simjui ila nahisi ndio wale wale..
Asilimia karibia 95 ya waigizaji wa hapa bongo hawajui kuigiza, maproducer 0, directors 0.. kifupi hakuna jambo.
 
[emoji13][emoji2957] kiswahili kunyooka ndo siwezi kuwa mkongo [emoji12][emoji22][emoji2][emoji1]
Ni wewe bana usituchoshe 🤣🤣🤣
Hizo kazi zako za vichekesho wapelekee bus za mkoa waekee abiria utapiga pesa balaa
 
Ni wewe bana usituchoshe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo kazi zako za vichekesho wapelekee bus za mkoa waekee abiria utapiga pesa balaa

Sio mimi bwana usinichoshe [emoji2957]
 
Hili ni tangazo la biashara? Huyo VEVO simjui ila nahisi ndio wale wale..
Asilimia karibia 95 ya waigizaji wa hapa bongo hawajui kuigiza, maproducer 0, directors 0.. kifupi hakuna jambo.

Clam vevo amekuja vizuri ndugu yangu
Hawezi kuwa bora kuliko wa mbele uko but kwenye kuandika story na kupangilia castles zake yupo vizuri saana
 
Back
Top Bottom