Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Ndio mimi Cloud na unaweza nicheck pia kwenye Cloud 112
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
nimesha kuchek......! Karibu tena!
Ndio mimi Cloud na unaweza nicheck pia kwenye Cloud 112
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Mkuu nitajitahidi kuwashawishi wajiunge. Wakati ukifika nao watakua hapa kama mimi
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Invisible, naona na wewe ume like hii thread. Mnaonaje mki verify huyu member iwapo ni yeye kweli? Ni mtazamo tu.Salam wana JF,
Mimi ni mtayarishaji/Muongozaji na msanii wa filamu za Kibongo, nimejiunga hapa ili tushirikiane kwa pamoja katika kuendeleza tasnia yetu ya Bongo movie. Naomba ushirikiano wenu.
Cloud
View attachment 96614