rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 17,294
- 24,179
Nielekeze kuzipakua my diaPole zenu mnaonunua movies K/Koo..
Wenzenu nikiwemo mimi napakua series zangu za kikorea mwenyewe.
Hivyo hilo suala halitoniathiri hata chembe.
POPOMA GENTAMYCINE ameniambia amenunulia laptop ya Apple, ndio hiyo unayotumia kupakua series au unatumia ile iPhone yako?Pole zenu mnaonunua movies K/Koo..
Wenzenu nikiwemo mimi napakua series zangu za kikorea mwenyewe.
Hivyo hilo suala halitoniathiri hata chembe.
Haulijui soko la movie la Tanzania wstu wanaangalia cover la movie ndo anashawishika kununua movie
Mkuu yani hizo kwa upande wangu huwa sizielewi kabisa maana wanapiga Sana makelelesisi wengine tunataka zile za kutafsiriwa na rufufu, Juma khan, anko msafiri na yule jamaa wa kenya
yale makele ndio mazuri mfano yule wa kenya ana ubunifu wa hali ya juuMkuu yani hizo kwa upande wangu huwa sizielewi kabisa maana wanapiga Sana makelele
Maduka yamefungwa na wenyewe wenye maduka.Mamlaka ya kufunga maduka wanayo? Au ndio hearsay tu. Nina wasiwasi na hii thread huenda ikawa ni uzushi tu.
Wenyewe ndio wameamua kufunga ila sio serikali.NI KWELI MKUU NIMESIKIA KWENYE REDIO HALAFU HAO WA KWNYE MADUKA YA MUVI ZA KIKOREA MBONA LESENI ZA BIASHARA WANAZO KWANINI WAZUILIWE
Natumia iPhone yangu mkuu,lol!POPOMA GENTAMYCINE ameniambia amenunulia laptop ya Apple, ndio hiyo unayotumia kupakua series au unatumia ile iPhone yako?
Tena bila aibu Ray anasema hawana bajeti ya kutengeneza movie tofauti na hizo wanazotengeneza, na wao wanataka kula hivyo hawawezi kuacha kuzitengeneza,hivyo ndio mnabidi muendelee kununua tu hivyo hivyo ili wao wapate kula na nyie mtakuwa mnaonesha uzalendo.Jaman muv za kibongo....nikikumbuka yule jambaz aliemvamia iren kisha akavua viatu ndo akaingia ndan sion sababu ya kulazmisha tuzinunue
Wanakwambia hawana bajeti ya kutengeneza movie kama hizo.WAACHANE NA MAMBO YA PART ONE NA TWO AMBAPO UKIANGALIA MOVIE INAMATANGAZO KAMA ISHIRIN ALAFU MOVIE YENYEWE UNAANGALIA DAKIKA 15 IMEISHA ALAFU HAINA MVUTO UKIONA KASHA TU BAAS UMESHAJUA MOVIE IMECHEZWAJE TUPO KOREA BANA VITU VYA UKWEL MKIWEZA KUIGIZA HIVYO NA ZIWE NDEFU TUTANUNUA
Zile wanaelezea movie sio kutafsiri.sisi wengine tunataka zile za kutafsiriwa na rufufu, Juma khan, anko msafiri na yule jamaa wa kenya
Masharti gani magumu ambayo wameelezwa hao wauzaji hadi iwe ngumu kwao kufuata sheria bila shuruti?Masharti ambayo wanawekewa ni magumu na ndio maana wanalalamika.. na huo ni msukumo kutoka Bongo movies iweje washughulikie suala la filamu za nje kukidhi viwango wakati zetu wenyewe zimetutokea puani!! Na bado Internet zinaachwa tu! wafunge basi na internet mbona nayo ina mapungufu kibao mara elfu ya series ya korea tunazozitazama!