Show off Kwa sanaaaa
Unakuta Mtu eti hana kazi ya maana yenye kuweza kumpatia kipato cha uhakika Kwa kila mwezi (fixed income earners) lakini anataka kuishi maisha ya gharama ya mashindano
Saluni za gharama, Nguo za gharama, sehemu ya kutembea Kwa miguu au kupanda daladala lakini atapanda tax
Wengi wao wamekuwa kam matapeli madeni kila halali!
Kwenye maswala ya maadili mema ndo balaaa!
Kwa Kweli hadi huruma !
Afadhali wale wa zamani wale wa kipindi cha mchezo wa "mambo hayo"
Wale walikuwa wakijiheshimi sana mfano akina Waridi, Aisha, Bishanga Bashaoga etc wale walikuwa na utulivu Mashallah !
Wale walikuwa hawajichubui wala kunywa Maji mengi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.