Mdau wa muziki wa dansi na mfanyabiashara maarufu wa nguo za kike jijini Dar, Pius Mzee wa Pamba, akicheza muziki huku akiwa amembeba demu mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Kitendo hicho kiliwafanya baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo kukiona kama laana ya uzeeni. Tukio hili lilinaswa Msasani Beach Club wikiendi iliyopita wakati bendi ya muziki wa dansi ya Akudo Impact Vijana wa Masauti walipokuwa wakiburudisha
NB; Bongo maisha yanasonga wadau mwendo mpela mpela tutafika tu.
mkwanja wenyewe anao?mchovu fulani tu muuza mitumba mtu wa kupenda maujiko kwenye magazeti,sema hao madem wa elfu kumikumi ndo anawafanya kitoweo,na hapo alijua akitoa hiyo lazima atauza sura kapatia