Bongo maisha raaaaha

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444


Mdau wa muziki wa dansi na mfanyabiashara maarufu wa nguo za kike jijini Dar, Pius Mzee wa Pamba, akicheza muziki huku akiwa amembeba demu mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Kitendo hicho kiliwafanya baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo kukiona kama laana ya uzeeni. Tukio hili lilinaswa Msasani Beach Club wikiendi iliyopita wakati bendi ya muziki wa dansi ya Akudo Impact ‘Vijana wa Masauti’ walipokuwa wakiburudisha

NB; Bongo maisha yanasonga wadau mwendo mpela mpela tutafika tu.
 
Hawa ndo mapedeshee wenyewe wa mujini kila siku mnasikia wanaimbwa kwenye music mambo yao ndo kama hivi ni kujirusha tu.
 
Jamani mambo ya starehe yaishie huko huko.Mmemuhaibisha sana mzee wa watu,jiangalieni msije mkapata laana za ujanani oohooo!
 
Dah kweli ukiwa na mkwanja chochote waweza fanya juu ya hawa dada zetu pale jamaa anaweza pima oil lkn demu akatulia tu hahaa duh kweli noma
 
Dah kweli ukiwa na mkwanja chochote waweza fanya juu ya hawa dada zetu pale jamaa anaweza pima oil lkn demu akatulia tu hahaa duh kweli noma
mkwanja wenyewe anao?mchovu fulani tu muuza mitumba mtu wa kupenda maujiko kwenye magazeti,sema hao madem wa elfu kumikumi ndo anawafanya kitoweo,na hapo alijua akitoa hiyo lazima atauza sura kapatia
 
Back
Top Bottom