Bongo kwa ubabaishaji ni sawa na pete na kidole

Bongo kwa ubabaishaji ni sawa na pete na kidole

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
3,118
Reaction score
5,373
Utangulizi;
Nchiniki TZ kiongozi anaweza kuamua jambo la umma anavyotaka, mtajua wenyewe mfikiriaje!

Hoja kuu;
Juzi kati timu ya Singida walizindua uwanja wa kuchezea mpira mzuri tu. Mpaka hatua za kuuzindua maana yake upo tayari kwa matumizi.

Cha ajabu, leo Azam Sports wanatangaza kwamba mechi kati ya Singida na Azam itachezwa ule uwanja wa zamani wa CCM Liti.

Je, kuna taarifa yoyote kwa umma kuhusu ule uwanja uliozinduliwa wa Airtel kutotumika labda bado upo kwenye matengenezo ingawa ulizinduliwa?
 
Walisema mapema kabisa kuwa viwanja vyote vitatumika kutegemeana na mechi na uzito wake
Ule uwanja ukiachilia mbali uko kando sana ya mji (2hrs) lakini pia ukamilifu wake ni mdogo sana
Pia nadhani ccm huwa Wanarobe project za viwanja ili waendelee kuingiza mapato kupitia viwanja vyake
 
Duuh hatari sana bongo maghumashi sana mpaka mtu unatamani kuhama nchi.
 
Back
Top Bottom