Bongo kutoboa inafaa uwe mafia

srm97

New Member
Joined
Jan 15, 2024
Posts
3
Reaction score
3
BONGO NYOSO: Nimegundua kuwa Bongo kutoboa inafaa uwe mafia sana na umafia wenyewe ni ule wa kuvunja mifumo sababu kila mahala ni husda.

Ajabu sana unaweza kwenda mahali wanauza nguo uuze maji lakn wakaeka husda, unaweza enda mahali uchome mahindi wao ni watengeneza magari na watakukazia na usipokua mafia unaenda na maji .sasa apo ni vita ya low scale vipi uki scale kwenye biashara kubwa kubwa sindo balaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…