Bongo kuna watoto wakali...we acha tu!

Sidhani kama utakuwa udaku, funguka basi mie sjaskiamoja lake zaidi ya miss kidoti naomba niambie ni yepi yamekuchefua pls

Kweli tabia ndo kila kitu...huyo ni mzuri but kwa yote niliosikia..ananichefua nikimuona
...
 
Hajakutana na madokta huyo atakoj.....waa mpaka nywele zimsimame km za wakorea
 
Hajakutana na madokta huyo atakoj.....waa mpaka nywele zimsimame km za wakorea

Imenibidi nicheke nakukumbuka mziki wa Inomik inasikitisha saga....njisango jisakibola,kindiba kidibaga mwanasidiga............
 
Sasa jokate katika wazuri naye yumo? Labda kwa watoto wa kiswahili kama diamond
 
hivi kumbe "joketi" ndio huyo.aiseee asante kwa kutuletea picha yake.wengine tulikuwa hatumfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…