Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Mar 24, 2017 #1 Naona picha hizi zimetamalaki kila kona, sijui kwa nini! http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/cb91ae103a812080293303ed4f446407.jpg[/IMG] Siku hizi inabidi kuwa 'online' kila muda, maana ukizima data masaa mawili tu unaweza ukakuta unahadithiwa.
Naona picha hizi zimetamalaki kila kona, sijui kwa nini! http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/cb91ae103a812080293303ed4f446407.jpg[/IMG] Siku hizi inabidi kuwa 'online' kila muda, maana ukizima data masaa mawili tu unaweza ukakuta unahadithiwa.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,675 Reaction score 43,986 Mar 25, 2017 #3 Bongo dukina,Bongo kama mamtoni siku hizi.
M Mbena9 Member Joined Sep 16, 2016 Posts 49 Reaction score 30 Mar 25, 2017 #4 Duuu watu wameamu bhana kwa kweli.
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Mar 25, 2017 Thread starter #5 kaparo aloizay said: View attachment 486609 Click to expand...
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Mar 25, 2017 Thread starter #6 Mbena9 said: Duuu watu wameamu bhana kwa kweli. Click to expand... Watu wameamua liwalo na liwe
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 7,933 Reaction score 10,557 Mar 25, 2017 #7 Mbona yeye alikuwa hapendi kukosolelewa na ukienenda kinyume na matakwa yake unawekwa kizuizini
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Mar 25, 2017 Thread starter #8
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,153 Reaction score 829,094 Mar 25, 2017 #9 Kazwala mkuu said: Naona picha hizi zimetamalaki kila kona, sijui kwa nini! http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/cb91ae103a812080293303ed4f446407.jpg[/IMG] Siku hizi inabidi kuwa 'online' kila muda, maana ukizima data masaa mawili tu unaweza ukakuta unahadithiwa. Click to expand... Hahahaaa
Kazwala mkuu said: Naona picha hizi zimetamalaki kila kona, sijui kwa nini! http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/cb91ae103a812080293303ed4f446407.jpg[/IMG] Siku hizi inabidi kuwa 'online' kila muda, maana ukizima data masaa mawili tu unaweza ukakuta unahadithiwa. Click to expand... Hahahaaa
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Mar 25, 2017 Thread starter #10 mshana jr said: Hahahaaa Click to expand... Kweli wabongo safari hii wameamka, kadri kauli za vitisho zinavyozidi na matamko mazito wao ndio kwanza harakati wanazizidisha bila kujali hatari iliyo mbele yao
mshana jr said: Hahahaaa Click to expand... Kweli wabongo safari hii wameamka, kadri kauli za vitisho zinavyozidi na matamko mazito wao ndio kwanza harakati wanazizidisha bila kujali hatari iliyo mbele yao