lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
wabongo wanatisha yaani wakichinja kuku hawatupi kitu. wanakula kuanzia KICHWA,MIGUU,SHINGO,MGONGO,UTUMBO,NYONGO,FIRIGISI,KIPAPATIO,MAINI,MANYOA. hii ndio bongo wakuu. mnaonaje hapa?
Mbona wachina wanakula mpaka ushuzi wa kuku.
hujaambiwa useme wachina wanakula nin umeambiwa wabongo mbna unakua kama I LOV E IS MY COUNTRY