Bongo hiphop mistari ninayoikubali

Naflow kwa kiingereza ,naflow kwa kiswahili.
Hata Jigga haniwezi,mi naflow kwa lugha mbili.

R.I.P Langa
 
Najua Hip hop, sina beef na bongo fleva.
Nnachowaza fedha, sina muda wa kupoteza.

R.I.P Mabovu
 
Nishajitoa muhanga zaidi ya yesu msalabani/
Zaidi ya yesu msalabani/
(KalaPina)
 
Moyo unanienda mbio kama unaendeshwa na Schumacher kila nikiwaza uenda mchizi wangu anateseka.. By mwana FA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…