Usiniambie rangi uipedayo,
acha mwenyewe niitafute,
Kila zawadi ninayokupa,
nyingine zitupe,
Ili nijifunze ninapoingia ndani duka,
bei isishuke - Fid Q
Tazama wamekunja sura nisiyaone machozi,
Kila wakifurukuta bado bila bila,
wanachukia kisa uwezo alionipa Mola,
kila wakikaza bado mi ndio naonekana bora. - Joh Makini