Sijui kwanini huyu jamaa hakutoa track nyingi aseehHahaha!!!
Viazi la Kahaba-utamu wote njenje.
Ila hapo mstari wa pili...Nakupa maradhi nahisi alikuwa anelezea Ukimwi-kwasababu kipindi kile cha nyuma watu Mtaani walikuwa wanadai ukinasa tu miwaya siku Saba tu mwili unakusanua.
JOSEPHNaishi biashara
Daima siogopi hasara
Na mara mara kwa mara
Hii busara huepusha madhara
Pro jay mc.heavyweight
Jamaa sijui alipotelea wapi.Nakuacha mweupe ka'mkorogo//
Chata ka'wagogo//
Wabongo wacheni nyodo wote mnakula hongo//
Hashimu dogo-dogo mwanaharamu.
Hii ni habari nyingine alikuwa motooo wa kuotea mbaliii.
Huyu Jamaa angekuwa mfalme wa Hip hop Tanzania.hamna namna MkuuSijui kwanini huyu jamaa hakutoa track nyingi aseeh
Labda atakuwa shehe huwezi jua.Jamaa sijui alipotelea wapi.
Hahaha kwamba digital Mambo mswano!!Hata viongozi wa dini
Mijini wanavinjari/
Ukiuliza kwa nini?
Wanajibu ndiyo digitali/
Baba malcom.
Stamina ngoma zake hata sizielewi kabisa!!Wanasura za mama zao wanajiita makachaa/
Je, wangekuwa na za baba zao si ndiyo ingekuwa balaa /
Stamina.
Zohan ni artist ambaye ni gifted saana.Hahaha kwamba digital Mambo mswano!!
Usisubiri mpaka muhubiri chizi aanze kubwabwaja Lugha!!
Hii ngoma ya Zohan naikubali vibaya mno.
Usisubiri!!
Sifa za UandishiHaha umenikumbusha Ile track yao na one na songa. (Illmatx) inaitwaje vile. !