Bongo hii sasa Basiiiiiiii

Thats crazy, anajipaka matope.
Kwanini usiweke kwenye ndoo?
 
Haya ni maji ya mafuriko ama nyumba imejengwa mtoni? Na nguzo ya umeme mu-maji je?
 
Huyu anajitafutia kichocho na minyoo maji ya mafuriko yanabeba kila aina ya uchafu.Hajavua bukta makalio atayaoshaje
 
Usafi muhimu... Haha


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Kuoga mtoni raha nyie acheni tu! Ni sawa na kujisaidia kichakani!
 
hawa ni wale ambao huwa wanalaani mvua kunyesha vijijini badala ya dar
 
Afanyeje serikali yake haijamhakikishia maji ya kutosha, acha afurahie kwa raha zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…