Hao mbona wapo wengi tu, huyu nilimuona mitaa ya posta...Tuache utani go east go west....home is bestView attachment 144404
Tuache utani go east go west....home is bestView attachment 144404
miss chagga bongo nifuniko kwa kila kitu..kuanzia raslimali watu hadi vitu
amna noma msalimie chuwaa na riwa....wambie leo mbege na kiti mo kitimoto kweli pale kwa mama shayo
shoti kwenye kidudu
Wacha maneno mabaya
Sent from my iPhone using JamiiForums
sawa kakaaaa samahani kaka yangu sisemi tena
Uwe unatia sukari kidogo hayo maneno
Sent from my iPhone using JamiiForums
yamekuwa machachu sana
Kama ndimuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
sifaa twawapa jamani..mbona dada zetu wakibongo hamna jema