Bongo fleva nzuri kwa mwaka 2022

Bongo fleva nzuri kwa mwaka 2022

Nyamboboy

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
362
Reaction score
458
Hello,

Naomba tusaidiane kujuzana ni miziki gani ya kibongo mizuri imetoka kwa kipindi hiki kuanzia Januari had Mei. Nikipata hata 30 itakuwa vizuri.

NB: Sihitaji nyimbo za Dini with all due respect!
 
Hamadai ft Ali Kiba - NIAMINI
Mario ft Harmonize - NAOGOPA
Harmonize - MTAJE
Diamond ft Zuchu - Watasubiri
Killy ft Harmonize - NI WEWE

Anza Na Hizo....
 
Nashukuru sana ndugu zangu,tuendelee kuweka nyimbo zinazobamba za kipindi hiki,Nataman nipate playlist ya nyimbo hata 30
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom