Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,627
- 4,345
Unamjua Soprano?
No doubtsToa Jux weka Q. Chillah, Jux hana kazi za kumuweka bench Chillah.Hebu jikumbushe na hizo chorus
1. Asubuhi - AY & FA ft. Chillah
2. Mpiga debe - Mzimuni family ft. Chillah
3. Amekoma - Temba ft. Chillah
4. My boo- Jaffarai ft. Chillah
5. Nakuwaza - Solo Thang ft. Chillah
6. Nataka demu - Jay-Mo ft. Chillah & Solo Thang
7. Msinitenge - Prof. Jay ft. Chillah
8. Sintobadilika - Mike T ft. Chillah
9. Goodbye - Chege ft. Chillah
10. Kilio changu - Solo Thang ft. Chillah
11. Kazi ipo -Tmk wanaume family
12. Nipo nilikuwepo - Mr. Blue ft. Chillah
Hizo ngoma zinatosha kabisa kumuweka Chillah katika top 3 ya waimba chorus bora kabisa kuwahi kutokea nchini
safiToa Jux weka Q. Chillah, Jux hana kazi za kumuweka bench Chillah.Hebu jikumbushe na hizo chorus
1. Asubuhi - AY & FA ft. Chillah
2. Mpiga debe - Mzimuni family ft. Chillah
3. Amekoma - Temba ft. Chillah
4. My boo- Jaffarai ft. Chillah
5. Nakuwaza - Solo Thang ft. Chillah
6. Nataka demu - Jay-Mo ft. Chillah & Solo Thang
7. Msinitenge - Prof. Jay ft. Chillah
8. Sintobadilika - Mike T ft. Chillah
9. Goodbye - Chege ft. Chillah
10. Kilio changu - Solo Thang ft. Chillah
11. Kazi ipo -Tmk wanaume family
12. Nipo nilikuwepo - Mr. Blue ft. Chillah
Hizo ngoma zinatosha kabisa kumuweka Chillah katika top 3 ya waimba chorus bora kabisa kuwahi kutokea nchini
namuweka Pfunk majani.1. [emoji654]JUMA NATURE
2.[emoji654] FEROOZ
3.[emoji654]BELLE 9
4[emoji654] DULLY SYKES
5[emoji654] ALIKIBA
6[emoji654] G NAKO
7[emoji654] JUX
8[emoji654]LADY JAY DEE
9[emoji654]STEVE RNB
10[emoji654] BEN POL
Umeisahau muda ya chid benz, ila chillah kwenye chorus anajua sanaa yule jamaa!Toa Jux weka Q. Chillah, Jux hana kazi za kumuweka bench Chillah.Hebu jikumbushe na hizo chorus
1. Asubuhi - AY & FA ft. Chillah
2. Mpiga debe - Mzimuni family ft. Chillah
3. Amekoma - Temba ft. Chillah
4. My boo- Jaffarai ft. Chillah
5. Nakuwaza - Solo Thang ft. Chillah
6. Nataka demu - Jay-Mo ft. Chillah & Solo Thang
7. Msinitenge - Prof. Jay ft. Chillah
8. Sintobadilika - Mike T ft. Chillah
9. Goodbye - Chege ft. Chillah
10. Kilio changu - Solo Thang ft. Chillah
11. Kazi ipo -Tmk wanaume family
12. Nipo nilikuwepo - Mr. Blue ft. Chillah
Hizo ngoma zinatosha kabisa kumuweka Chillah katika top 3 ya waimba chorus bora kabisa kuwahi kutokea nchini
kwa waliopo hapo suma Lee bado SanaSUMA LEE yuko vizuri kuliko wengi ninaowaweka hapo.
duuh! Majani tena si producer/beat maker yule chorus Kama ya jaymoe famousnamuweka Pfunk majani.
soprano namjua vyema Hana nafasi hapo kabisaaaUnamjua Soprano?
kwa nyimbo zipi?Chege
Tatizo hajafanya kazi nyingi so hamjamzoea masikioni mwenusoprano namjua vyema Hana nafasi hapo kabisaaa
bongo hip hop ya fidduuh! Majani tena si producer/beat maker yule chorus Kama ya jaymoe famous
Au yote maisha ya madee ni touch chachee
na kipimo sahii lazima kiwe kazi nyingi na asilimia kubwa ya kazi hizo awe amefanya poaTatizo hajafanya kazi nyingi so hamjamzoea masikioni mwenu
qchillah sikupingi nimemsahau tu bahati mbayaMnamsahau Vp Q CHILLAH
hata kwa marekani huyo quavo huncho hashiki namba pale .kuna vichwa KamaQuavo
.. Ah kumbe ni kibongobongo