Bongo fleva chorus killers of all time in no particular order

Bongo fleva chorus killers of all time in no particular order

hata kwa marekani huyo quavo huncho hashiki namba pale .kuna vichwa Kama

1.Chris's brown

2➡Rihana

3➡jason derulo

4➡bruno mars

5➡charlie puth

6➡neyo

7➡alica keys na wengine wengi quavo bado Hana maajabu
Etiee???
 
Toa Jux weka Q. Chillah, Jux hana kazi za kumuweka bench Chillah.Hebu jikumbushe na hizo chorus
1. Asubuhi - AY & FA ft. Chillah
2. Mpiga debe - Mzimuni family ft. Chillah
3. Amekoma - Temba ft. Chillah
4. My boo- Jaffarai ft. Chillah
5. Nakuwaza - Solo Thang ft. Chillah
6. Nataka demu - Jay-Mo ft. Chillah & Solo Thang
7. Msinitenge - Prof. Jay ft. Chillah
8. Sintobadilika - Mike T ft. Chillah
9. Goodbye - Chege ft. Chillah
10. Kilio changu - Solo Thang ft. Chillah
11. Kazi ipo -Tmk wanaume family
12. Nipo nilikuwepo - Mr. Blue ft. Chillah
Hizo ngoma zinatosha kabisa kumuweka Chillah katika top 3 ya waimba chorus bora kabisa kuwahi kutokea nchini
Mzee umetisha sana kweli q chillah ni Moto wa kuotea mbali.naukumbukaga wimbo wake ulinizaaa ww ukanikataaa baba sasa iweje unaona Mimi nafaa.mpaka leo sijawahi na sitakuja kumkataa mwanangu ata wakusingiziwa ntakubali dna baadae huko
 
Umetishaa..
 
Ni kweli kabisa, Chillah alifunika sana enzi zake. Kama sio madawa na ujanja mwingi wa mjini basi sasa hivi angekua na maisha mazuri tu
Mzee umetisha sana kweli q chillah ni Moto wa kuotea mbali.naukumbukaga wimbo wake ulinizaaa ww ukanikataaa baba sasa iweje unaona Mimi nafaa.mpaka leo sijawahi na sitakuja kumkataa mwanangu ata wakusingiziwa ntakubali dna baadae huko
 
1. ➡JUMA NATURE

2.➡ FEROOZ

3.➡BELLE 9

4➡ DULLY SYKES

5➡ ALIKIBA

6➡ G NAKO

7➡ JUX

8➡LADY JAY DEE

9➡STEVE RNB

10➡ BEN POL
Weka sample walizo kill..vinginevyo ni pumba tu kama z kuku wa kisasa.
 
Back
Top Bottom