Chuma Chakavu JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,523 Reaction score 655 Nov 17, 2013 #61 magnifico said: Ingekua si vibaya kama ungeattach na huo wimbo niusikie! Click to expand... Naona Gurta amekuwekea hapo juu,usikilize halafu leta feedback
magnifico said: Ingekua si vibaya kama ungeattach na huo wimbo niusikie! Click to expand... Naona Gurta amekuwekea hapo juu,usikilize halafu leta feedback
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,275 Reaction score 31,853 Nov 17, 2013 Thread starter #62 Chuma Chakavu said: Naona Gurta amekuwekea hapo juu,usikilize halafu leta feedback Click to expand... Mkuu nimeisikiza mara tatu lakini sijasikia kufanana kwa aina yoyote ile labda iyo sound ya china.... ile upangaji wake ni tofauti kabisa..
Chuma Chakavu said: Naona Gurta amekuwekea hapo juu,usikilize halafu leta feedback Click to expand... Mkuu nimeisikiza mara tatu lakini sijasikia kufanana kwa aina yoyote ile labda iyo sound ya china.... ile upangaji wake ni tofauti kabisa..
T Tropper benjamin New Member Joined Jan 18, 2013 Posts 1 Reaction score 1 Nov 19, 2013 #63 Nimeipenda idea ya beat pia mixng ya Kasu ipo pouwa. Mkiendelea kubadilishana idea kasu na magnfco mtafanya kitu kikubwa sanaaa....
Nimeipenda idea ya beat pia mixng ya Kasu ipo pouwa. Mkiendelea kubadilishana idea kasu na magnfco mtafanya kitu kikubwa sanaaa....
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,275 Reaction score 31,853 Nov 19, 2013 Thread starter #64 Tropper benjamin said: Nimeipenda idea ya beat pia mixng ya Kasu ipo pouwa. Mkiendelea kubadilishana idea kasu na magnfco mtafanya kitu kikubwa sanaaa.... Click to expand... Pamoja sana mkuu tropper nitalifanyia kazi wazo lako!
Tropper benjamin said: Nimeipenda idea ya beat pia mixng ya Kasu ipo pouwa. Mkiendelea kubadilishana idea kasu na magnfco mtafanya kitu kikubwa sanaaa.... Click to expand... Pamoja sana mkuu tropper nitalifanyia kazi wazo lako!
B Bonson05 Member Joined Oct 12, 2012 Posts 77 Reaction score 12 Sep 29, 2015 #65 magnifico said: Nimbejaribu kutengeneza Bongofleva beat kwa software ya Fruity loops.... Unaweza ukaisikiliza hapo chini na kunipa comment zako... Click to expand... bro ninayo fl studio but n functionless je naweza pata key zake nam nijichanganye nayo coz napenda sana mambo hzo please n pm..
magnifico said: Nimbejaribu kutengeneza Bongofleva beat kwa software ya Fruity loops.... Unaweza ukaisikiliza hapo chini na kunipa comment zako... Click to expand... bro ninayo fl studio but n functionless je naweza pata key zake nam nijichanganye nayo coz napenda sana mambo hzo please n pm..