Bongo flava ya ukweli kuliko zote

anasemajeee.................kuwa mtu mzinma sio kujua kufungua zipu, ila kuwa deep........aseee
kwa hiyo unaweza ukafungua zipu na usiweze kwenda deep sio??
 
Video bomba, Beat safi sana ila lyrics hazijanibamba kivileee

LYRICS
"ni wazi watu white ni wezi.........kiujamaa kama azimio la arusha!......... mapolisi politicians wana bagain kama witchmagicians.......... akili zikiwa nyingi ndio unakuwa huru.......... unafikiri kuwa mkubwa tu ni kufungua zipu, kuwa mkubwa yamanisha kuwa deep.........wakosefu ukiwahofu unawatukuza, makofi hayawakuzi watoto yatawaumiza"
 
Kwa US bongo fleva ninayoiona mara kwa mara kwenye TV ni "Kipi ni dhambi kwa mwenye dhiki" by XPLASTAZ.
Huonyeshwa mara kwa mara Link TV - World Music.
Wamarekani wengi ninaowafahamu huniambia hii nyimbo iko real deep!!
RIP Faza Nelly.

ni kweli kabisa. Huo wimbo ni all weather. 'naishi na watu siishi na misitu''. Faza nelly alikuwa kweli faza.
 
Its one of the best Yes, and we can add
propaganda - FidQ
Ara-City - Fidy, G Nako
Mtazamo
Chemsha Bongo
Hili game
Pengo
Sikati tamaa - darasa
I am a playboy - Nick
darisalama - Chid Benz
maisha ya bongo - 20%
nk
Kaka umenikuna sana kwenye hizo track
Nini dhambi-Faza Nelly
Homa ya dunia-Solo Thang
Hao-Joh Makini
 
maskini jeuri....juma nature na manduli mobb-hapa mheshimiwa temba pale bwana mkubwa!beat la hatari mashairi ya ukweli ya kiuswazi uswazi
 
Radhia wangu wewe ni namba one Nakupenda sana mimi si utani usisikie ngendebwe za majirani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom