Bongo flava ya ukweli kuliko zote

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
451
I just thought of sharing what it think is the most INCREDIBLE TUNE by Nikki wa PiliHii ngoma imetulia sana wasanii wote wa bongo wangekuwa na mistari mikali na video nzuri kama hizi wangekuwa mbali sana!
 
Last edited by a moderator:

SOBY

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
1,268
456
Kwa US bongo fleva ninayoiona mara kwa mara kwenye TV ni "Kipi ni dhambi kwa mwenye dhiki" by XPLASTAZ.
Huonyeshwa mara kwa mara Link TV - World Music.
Wamarekani wengi ninaowafahamu huniambia hii nyimbo iko real deep!!
RIP Faza Nelly.
 

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,957
611
Naona unafanya promo, anyway, huyo dada kwenye chorus anaitwa nani?
 

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,837
..Kiukweli huwa nai-feel hii ngoma!!!..BUT sidhani kama ni nzuri kuliko any bongo flava
 

CLEMENCY

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
211
116
Beat imelandana na wimbo 1 wa Wu tang. Najaribu kukumbuka jina. nikikumbuka nitairusha tyubu yako (youtube)
 

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,518
11,269
Kwa US bongo fleva ninayoiona mara kwa mara kwenye TV ni "Kipi ni dhambi kwa mwenye dhiki" by XPLASTAZ.
Huonyeshwa mara kwa mara Link TV - World Music.
Wamarekani wengi ninaowafahamu huniambia hii nyimbo iko real deep!!
RIP Faza Nelly.

Mkuuu kweli wewe nimekukubali unaujua muziki wetu,Lile song ni balaa limesheheni ujumbe mzito kinoma,na linamafundisho kwa jamii yote bila kubagua KWA AMBAYE HAUJUI AUTAFUTE apate ujumbe,RIP FAZA NELLY.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom