Hii battle mnashindanisha ufupi wa Wenyeviti wao wa serikali ya mitaa wanakoishi au?Mkuu umekurupuka kuja kuchangia hoja.
Hebu rudi isome title ya huu uzi, poa soma kidogo maelezo ya mtoa uzi. Hapa tunazungumzia battle kati ya Raybann na Marioo.
Shida yenu mnakuja kiushabiki. Hata kama tungesema mziki mzuri bado tu marioo hamuwezi Ray. Kama huamini mimi nakupa miaka 15, huyo marioo apate mashabiki wengi watakao kubali mziki wake amzidi Vann.
MODS PLEASE MTUSAIDIE KUUTUNZA HUU UZI. MIAKA 15 IJAYO TURUDI KUULIZANA MASWALI HAPA.
Tena ngoja ni subscribe kabisa ni save poa kwenye bookmark. Na link nitaisave sehemu amabyo haitapotea.
I'm old school pia.Nina 43...na ni old school..rayvany ni mnyama, msanii mara mbili yuko mbali sana na wasanii wenzie....huyo marioo ni mdogo na wala simjui ....!
ila nikasikiliza ile nyimbo na darasa... nikaona kama uchawi.
nimekubali na kukubaliana kwamba..marioo ni smart na rayvanny ni second hand haingii...kiustaarabu tukubaliane..
.
.
Unawaza uchawa...hata hvyo ni mwehu tu anayeweza kukubaliana na hoja zako kwenye huu uziIla hii ya mnyakyusa "wanaweweseka" ni nyimbo nzuri na inafundisha? Sawa chawa
Ukiwa chawa(puppet) usichanganye watu wote, looking for cheap loophole unajifanya haujui kama waliendea Simba day.Nafkiri leo mmeona ukubwa wa marioo kwenye simba Day..
Kuna tahira mmoja likasema eti marioo ni underground..!
Angeitwa mnyakyusa angeimba nini na kumuamsha nani? Eti "wanaweweseka"[emoji3][emoji3][emoji3]
Qwy we chawa umesikia?
Mpumbavu ni wewe na ukoo wako wote, kila mtu ana categorize artists kwa mtazamo wake.Mtu anayemwita Marioo underground ni mpumbavu mkubwa..
[emoji817][emoji3581]Mkuu umekurupuka kuja kuchangia hoja.
Hebu rudi isome title ya huu uzi, poa soma kidogo maelezo ya mtoa uzi. Hapa tunazungumzia battle kati ya Raybann na Marioo.
Shida yenu mnakuja kiushabiki. Hata kama tungesema mziki mzuri bado tu marioo hamuwezi Ray. Kama huamini mimi nakupa miaka 15, huyo marioo apate mashabiki wengi watakao kubali mziki wake amzidi Vann.
MODS PLEASE MTUSAIDIE KUUTUNZA HUU UZI. MIAKA 15 IJAYO TURUDI KUULIZANA MASWALI HAPA.
Tena ngoja ni subscribe kabisa ni save poa kwenye bookmark. Na link nitaisave sehemu amabyo haitapotea.
Kuwaka kama moto wa makaratasi na ku'maintain kuwa katika peak kwa miaka ni vitu viwili tofauti kabisa, in few years to come hii thread itaonekana kama kituko.Mkuu umekurupuka kuja kuchangia hoja.
Hebu rudi isome title ya huu uzi, poa soma kidogo maelezo ya mtoa uzi. Hapa tunazungumzia battle kati ya Raybann na Marioo.
Shida yenu mnakuja kiushabiki. Hata kama tungesema mziki mzuri bado tu marioo hamuwezi Ray. Kama huamini mimi nakupa miaka 15, huyo marioo apate mashabiki wengi watakao kubali mziki wake amzidi Vann.
MODS PLEASE MTUSAIDIE KUUTUNZA HUU UZI. MIAKA 15 IJAYO TURUDI KUULIZANA MASWALI HAPA.
Tena ngoja ni subscribe kabisa ni save poa kwenye bookmark. Na link nitaisave sehemu amabyo haitapotea.
Different people with different opinions, kama yeye analipwa basi nawe unalipwa na kama yeye ni chawa na wewe ni chawa wa upande mwingine.Poa kachukue malipo ya vocha sasa.
Ajabu na kweli yani Marioo awe mkali kuzidi Vanny boy?? Jamaa anajui kuimba sawa ana ngoma kali sawa lakini kwa vanny bado kijana mdogo sana yani vanny huyu mwenye hit song inavuma mpaka ulaya umuweke na Marioo sio sawa.
Tuache kuwafananisha kila mtu afanye mziki wake marioo kufika hata robo ya vanny bado.
#Arovera umemaliza kila kitu bia tamu, kila nikiisikiliza hii ngoma nakumbuka enzi zile za dude lingine LA tilalila by Mr blue aeiceeee bs ngoja tunywe biaKwangu mimi Mario anakipaji sana kuliko Rayvany sema tu watanzania hatumzingatii, beer tamu, kwa raha
Ajabu na kweli yani Marioo awe mkali kuzidi Vanny boy?? Jamaa anajui kuimba sawa ana ngoma kali sawa lakini kwa vanny bado kijana mdogo sana yani vanny huyu mwenye hit song inavuma mpaka ulaya umuweke na Marioo sio sawa.
Tuache kuwafananisha kila mtu afanye mziki wake marioo kufika hata robo ya vanny bado.
Marioo ni fire
Kiki ya kutaka kujiua je ??Marioo anachukua ametoboa bila kiki...