vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,749
- 1,002
Sijui nitaanzia wapi Leo.
Nina moto sana na hii weekend.
Mashostito jamani tupigiane simu tu.
Yaani weekend hii balaa unajua sansiro ilifungwa kipindi cha Ramadhani, Maisha club na yenyewe hola. Club bilicanas ndio kulikua kumepwayaaaa.
Yaani sipati picha ya kesho jioni kama ndio Idd au ijumaa jioni.
Utamuuuuuuuu mpaka kisogoni.