cataliya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 458
- 361
Katika simu!
BOY: Hello baby boo... uko wapi? nimekumiss mwenzio!
GIRL: Honey, niko samaki samaki hapa napata lunch, then namsubiri driver wangu aje kunichukua anipaleke chuo...
Wewe uko wapi baby?
BOY: Nipo siti ya nyuma ndani ya hii daladala ya mbagala uliopanda, nilitaka kukwambia nimeshakulipia nauli....usilipe
baby boo!!!
GIRL: ndi ndi ndi!!!!:faint2::faint2::crying::disapointed: