jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,770
- 1,605
Mkuu nitake radhi, mi nimepita youtube nikakuta masongi kibao ya huyu jamaa, sasa sijaelewa mirembe kuna studio iliyotukuka hivyo au?Kumbe ulibadili ID
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahahha huyu mtambo kumbe alikuwa chimbo anarekodi wimbo duuuh
Nani kakwambia anakaa milembe yuko kwao anapambana na hali yakeMkuu nitake radhi, mi nimepita youtube nikakuta masongi kibao ya huyu jamaa, sasa sijaelewa mirembe kuna studio iliyotukuka hivyo au?