Bonge la Kifaa yaani nakiheshimu sana!

Bonge la Kifaa yaani nakiheshimu sana!

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,964
Reaction score
8,937
IMG_20180925_120021.jpg
 
kifaa cha nini sasa wakati choo km cha shimo vile
huwezi chambia wala kusukumia choo(Kimbx)
 
Sekondari ndio ulikuwa mwiko wangu huo. Nilikuwa na lile Can la kumwagilia bustani nachomeka heater nachemsha maji ya kunywa. Ili maji yachemke vizuri inabidi kuyakoroga. Sasa kwenye ile stoo ambayo nilikuwa naitumia hiki kifaa ndio kilikuwepo ikabidi nikitumie. Ila kilikuwa kipya. Kuna jamaa alikuja kuomba maji, alipoona hili dude limezamishwa kwenye maji ya kunywa, akaghairi kuyanywa!
 
Huu upumbavu kabisa..
Kwan lazma nawewe ufungue uzi?
Wakat mwingne Kama huna cha kuandika soma vya wenzako unaweza kujifunza kitu kuliko kuleta mavi uliyoyaleta hapa..
Naionea huruma familia yako ilivyokula hasara
Wewe kilembwekeza changu aliyefungua uzi huu ni wewe. Mimi nimeanzisha. Wewe ni hasara kwa baba yako nadhani alidhamiria kupiga puli mamayo akatokea ghafla.
 
Ndio hivyo Mimi nilishawishika na upashaji wake wa habari ,ila asaivi imekua hovyo Kuna nyuzi za kipuuzi nyingi mno kuliko nzuri!
Mkuu kama hauna hiki kifaa, HABARI ndo hiyo nakupasha ununue. Jifunze kuhusu Forums ili usibabaike na nyuzi usizozipenda.
Nimekujibu kistaarabu maana unaweza kuwa mchepuko wangu ukibalehe/pevuka.
 
Back
Top Bottom