Bonge la business plan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bonge la business plan

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chabo, Dec 19, 2011.

 1. C

  Chabo JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  Habarini za saa hizi wote.
  Kama mjuavyo siku zote katika kuanzisha biashara;-cha muhimu huwa ni wazo kwanza.mm binafsi nimepata wazo la kufungua pump ya kuuza mafuta ya taa hapa mtaani kwetu.naomba mwenye ufahamu wa kutosha anisaidie ufafanuzi kuhusu biashara hiyo.

  nawasilisha ombi.
   
 2. C

  Chabo JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  Mbona kimya jamaniiiiii
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  Nenda ofisi za Oilcom Tabata utapata maelezo kamili.
   
 4. C

  Chabo JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  thax fayfox.But not enough
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Uza hiyo pump with 10% mark up
   
 6. C

  Chabo JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  sina pump ila nina wazo la kuwa nayo.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  BASI ACHANA NAYO........NUNUA HII KITU

  [​IMG]
   
 8. v

  valid statement JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Mpe sababu za kumshawishi aache wazo lake, afate fursa unayomwitia wewe.
   
 9. M

  Malila JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Kabla hujatupa fedha yako ktk kununua pump, jitahidi uzungukie idara husika ktk biashara hiyo ili uone kama unaweza kuwa na sifa. Nenda mipango miji ya hapo ulipo, kisha waone jamaa wa fire brigade wa hapo ulipo, waone jamaa wa leseni wakupe ushauri.

  Unaweza nunua pump, jamaa wa leseni wakakwambia tunaomba kibali toka fire brigade, au mipango miji wakakugomea kutoa kibali cha kuweka pump yako ulipochagua.

  Pale njia ya kwenda Mzumbe university, kuna kituo cha kampuni fulani kimevunjwa kikiwa bado kipya kabisa kwa sababu waliamini pesa ni kila kitu.
   
 10. C

  Chabo JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  hiyo mashine ni ya kuziba pancha?kama ndiyo yenyewe naomba ufafanuzi kuhusu hiyo biashara.
   
 11. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kumbe haujafanya hata utafiti halafu title inasema BONGE LA BUS. PLAN, kijana unatembocard master card?
   
 12. Ibang

  Ibang Senior Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mbona umemuuliza kama ana tembocard mastercard?
   
Loading...