Bondia Mada Maugo Ajiunga na CHADEMA leo Tarehe 08/06/2013

Bondia Mada Maugo Ajiunga na CHADEMA leo Tarehe 08/06/2013

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,988
Salama WanaJF.

Bondia maarufu nchi Mada Maugo almaarufu King Junior amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo Chadema.
Muda mfupi ujao atakabidhiwa kadi na mjumbe wa kamati kuu kamanda Wakili Mabere Marando.

Nitumie fursa hii kumkaribisha ndani ya Chadema King Junior ili tusaidiane kuendeleza mapambano dhidi ya mkoloni mweusi.

Peoples Power!
 
Karibu mpiganaji jiunge na wapiganaji wa kukomboa nchii,.
 
Sishangaii huyu bondia si wa mkoa uleeeee
 
Safi sana tupo pamoja na wataendelea kuumia mpaka kieleweke Chadema daima
 
maswaswa; Mbona unakuwa kama unawashwa Madam/Sir kwani tatizo liko wapi, Maugo Jr amepima hali halisi na kuona chama safi kisera na malengo ya kumkomboa Mtanzania wa hali kama yake ni CHADEMA sasa wewe mapovu yanatoka wapi? CCM kinapendwa na mafisadi, watoto wao,ndugu zao au wale wasiojitambua!
 
Last edited by a moderator:
nice maugo karibu sana mkuu hakika hutokuja kujuta maamuzi uliyochukua karibu sana najua wengine wengi wako nyuma yako wanakuja ni muda wa mapambano.
 
Kianzishwe kitengo cha masumbwi bi kiroboto akileta zake sana tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Welcome home comrade

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom