Bondi ya mahakama maana yake nini?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Hizi kesi za madawa zimegubikwa na bondi za dhamana za milioni 10..hizo bondi ni pesa taslimu au maana yake nini maana naona wote wametoka... Au milioni kumi si pesa...
 
Back
Top Bottom