Bondei Noma

Bondei Noma

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Wabondei 2 walipanga kwenda kuiba duka la dhahabu, usiku ulipoingia wakaenda na kuiba dhahabu zote, cha kushangaza asubuhi polisi walipokuja walimkuta mmoja pale dukani , walipomuuliza akawaambia mimi na mwenzangu tumegawana yeye achukue dhahabu mimi nichukue duka.
 
huyo ni bondei kwel.
 
Back
Top Bottom