Calist Pascal
Member
- Jun 11, 2015
- 32
- 11
Ndugu zangu viongozi wa Umoja wa wanakihesa huu sio wakati muafaka wa kumkaribisha kiongozi wa kisiasa kuwa mgeni rasimi kwenye bonanza lisilokuwa la kisiasa.
Huyo Mkurugenzi wa Makampuni ya ASAS sio mtu sahihi kuwa mgeni rasmi kwenye bonanza letu sijui ni kigezo gani kimetumika kumualika yeye. Hatutaki mwanasiasa wa chama chochote kwani umoja wetu sio wa kisiasa . wengi hatutashiriki kwa sababu tumeshajua kilicho nyuma ya pazia malengo ya mkurugenzi huyo yanajulikana.