Hapa juzi kati nilienda Mombasa,nikitembea kila baada ya muda nasikia 'bomu mzee' nikawa nastuka vipi mbona hali si shwari au nirudi kwenye giza la Ngeleja ? baada ya muda nikamuuliza mtu vipi mbona kila nipitapo naskia mabomu ? akacheka sana nakunielewesha eti kabila la wenyeji Wagiriama ndio salamu yao.