Bomu laonekana karibu na kanisa mkoani morogoro

Bomu laonekana karibu na kanisa mkoani morogoro

Haya mabomu sasa yamezidi,mara shekilango,mara morogoro!vipi na hayo mengine ambayo hayajaonekana?ila kwa uwezo wake Mungu hakuna bomu litakalolipuka kabla ya kuonekana na wasamaria wema!
 
Propagetion za wakristo iliwapate kibali cha kuwavamia wasilamu,hakuna lolote hapo,wasilamu wa tz hawana bifu na wakristo,

Wangekuwa hawana bifu wangekuwa wanalipua makanisa ?
 
Shekilango, morogoro kote mabomu....
Hii ni Funika kombe mwana haramu wa ripoti ya meno ya tembo apite...
 
Hii vita ya maneno ya udini mnayoiendekeza humu mmewahi kufikiri madhara yake nje ya hapo? Msiombe vita ya dini itokee kwani hakuna atakaesalimika. Oneni mifano ya south sudan na north nigeria yanayotokea.
Na si kila bomu waweke waisilam kwani hata ndani ya wakristo kuna uasi wa kugombea waumini. So try to think out of box before condemning or blaiming.
Nawashauri muachane kabisa na verse ya dini na bora usishauri chochote ili wenye chokochoko za udini wasipate support.
 
Afrika ya kati waislam na wakristo wanachinjana ata watoto wadogo wanachinjwa inasikitisha sana fatilia bbc.

Ata mungu apendi hao wote wanaochinjana mwisho wa siku ni motoni tu.

Bila kuwa na UPENDO uwez kwenda mbinguni
 
Kwani,ushasikia shekhe kamwagiwa tindikali? Au msikiti umechomwa
 
Kuna watu wapuuzi sana.hakika elimu haiongezi busara.udini huu utawamaliza
 
Swali la leo kwa herufi kubwa: MBONA HATUJAWAHI KUSIKIA MSIKITI UMELIPULIWA KWA BOMU?
 
Mnaweka baruti au mabomu yenu huko mnakoweka makanisani na karibi na ibada zenu wenyewe halafu mnajitokeza na kutangaza biashara ya kanisa kuwa tumeona bomu juzi nilisikia morogoro juzi bomu limeonekana kwenye kuta za ibada ya makanisa yenu je ninani anaweza kuingia hadi ndani au pembezoni mwa kuta xa kanisa akaweka bom au baruti kama si nyinyi wenyewe tangazeni biashara ya makanisa kwa matukio na kuleta chuki zidi ya uislam
 
Back
Top Bottom