Bomu laonekana karibu na kanisa mkoani morogoro


buhange

buhange

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2011
Messages
505
Likes
54
Points
45
buhange

buhange

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2011
505 54 45
Wadau, Nimesikiliza radio one muda huu wanasema kuna habari kwamba bomu ambalo limeshindwa kutambuliwa na jeshi la polisi ujazo na aina ya bomu hilo limeonekana karibu na kanisa moja mkoani morogoro. Walio na taarifa watujuze zaidi. Source: RADIO ONE
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,735
Likes
2,005
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,735 2,005 280
Mungu atupe neema yake tuendelee tu kuwa wavumilivu na wenye upendo kwa wanaotutendea mabaya.
natuendelee kuvimilia tu mpaka litakapo lipuka hilo bomu..
 
sister

sister

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Messages
9,031
Likes
3,999
Points
280
sister

sister

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2011
9,031 3,999 280
Mungu azidi kutulinda.....
 
S

sempa101

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
364
Likes
16
Points
0
S

sempa101

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
364 16 0
Propagetion za wakristo iliwapate kibali cha kuwavamia wasilamu,hakuna lolote hapo,wasilamu wa tz hawana bifu na wakristo,
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,370
Likes
1,298
Points
280
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,370 1,298 280
Propagetion za wakristo iliwapate kibali cha kuwavamia wasilamu,hakuna lolote hapo,wasilamu wa tz hawana bifu na wakristo,
Hata sisi wakristo hatuna bifu na waislam coz tumeoa kwenu waislam na nyie mmeoa kwetu, nadhani kuna watu wachache hawapendi ushirikiano huu
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,318
Likes
190
Points
160
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,318 190 160
Je, WaTZ. tumesahau Mabomu yaliyolipuka Mbagala ?!!
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,386
Likes
29,321
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,386 29,321 280
chadema hao wanataka kubadili vichwa vya habari.

chadema Kimenuka!
 
BashiriOnline

BashiriOnline

Senior Member
Joined
Nov 5, 2012
Messages
128
Likes
11
Points
35
Age
38
BashiriOnline

BashiriOnline

Senior Member
Joined Nov 5, 2012
128 11 35
Daaaa!!! Ama i sasa inaelekea pabaya....
 
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
11,516
Likes
15,520
Points
280
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
11,516 15,520 280
chadema hao wanataka kubadili vichwa vya habari.

chadema Kimenuka!
Japokuwa huwa unapenda sana kuwaponda CDM mi huwa sifurahii, ila kwa asilimia kubwa kwa haya uliyonena naweza nikaamini. CDM kumetifuka tena sana.
 
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
3,772
Likes
76
Points
145
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
3,772 76 145
chadema hao wanataka kubadili vichwa vya habari.

chadema Kimenuka!
We BIBI Huwa sikuelewi vile. Ukiamka unaota CHadema ukilala unaota CHADEMA. HUNA KINGINE ZAIDI YA CDM???
 
mafinyofinyo

mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
4,393
Likes
2,826
Points
280
mafinyofinyo

mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
4,393 2,826 280
Wavaa vipedo wameshaanza mambo yao tena.
 
jMali

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
8,344
Likes
1,118
Points
280
jMali

jMali

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
8,344 1,118 280
Propagetion za wakristo iliwapate kibali cha kuwavamia wasilamu,hakuna lolote hapo,wasilamu wa tz hawana bifu na wakristo,
"propagetion" lugha gani hii, kiarabu?
 

Forum statistics

Threads 1,250,676
Members 481,436
Posts 29,741,384