CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,238
mkuu mimi nilivyoelewa pale baada ya lile bomu la mkono kurushwa, kuna raiya walikua mbali kidogo hasa wale waliokua kwenye usawa uwanja wa mpira wa miguu walidhani ni polisi wameanza kupiga mabomu ya machozi na wao wakaanza kujitetea kwa kuwapiga kwa mawe ndipo polisi nao wakaanza kutupa mabomu ya machozi hovyo.
naamini polisi wasingerusha mabomu ningeweza hata kumkamata muhusika kwa mikono yangu mwenyewe kwasababu alikua karibu yangu sana.
cc to Mungi
Mungu akubariki kwa kuwa muazi na mkweli. Wameuliwa ndugu zetu watanzania kwa maana upotoshaji wa aina yoyote utakuwa ni sawa na kumtetea muuaji na pia nina imani wewe mpotoshaji utakuwa muuaji. Narudia tena Mungu akubariki.
Last edited by a moderator: