Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,394
- 31,347
Bongolander,
I can't agree with you more. Adui mkubwa wa kwanza katika kupiga hatua ni sisi wenyewe. Tangu Uhuru hatujaweza kuchukua hatua za makusudi kukabiliana na matatizo yetu. Mathalan, inakuwaje miaka 50 sasa hakuna kiongozi aliyewahi kuwa 'bold' kwamba tu-balance bajeti yetu? Hata kama ni kwa austerity measures we must try.
By the way wananchi wanaishi katika austerity measures kila siku!
Ukitazama bajeti na miradi au mipango ya maendeleo haviwiani kabisa. Kwanini daraja moja lipangiwe fedha za matumizi kwa bajeti 3 mfulululizo, in other words it's all abaout embezzlement!
Turudi katika upoteaji wa fedha, ni nani amewahi kuwajibishwa zaidi ya kusikia tu taarifa ya CAG
Mchambuzi, tukiangalia external factors nakubaliana sana nawe kuwa nchi za Afrika pamoja na kulalamikia vyombo kama WTO, IMF, WB bado hazijaungana kikamilifu. Ukiacha mawaziri uliosema walikutana mwaka 2000, kwasasa hatuna watu wa aina ya akina Nyerere ambao waliweza kusimama kidete na kutetea unfair trade.
Japo basi akina Nyerere waliliangalia jambo hili kwa mtazamo wa south south commission. Je baada yao nani tena?
Nilifuatilia UNGA 2012. Katika nchi zote kutoka south kila mmoja aliongelea nchi yake. Waziri wetu akimwakilisha Rais aliongea Mkukuta, elimu na Ukimwi, vivyo hivyo kwa kwa wengine. Hakuna common ground katika kukabilaina na trade imbalances ambayo inaathiri sana nchi zetu na kama ulivyosema ni kungo muhimu cha maendeleo.
Zakumi, Nikubaliane nawe kuwa tunahitaji ku-modernize Agriculture kutoka tuliyo nayo kwenda Agrotech.
Hili lina maana moja kubwa, kwamba tutakuwa self sufficient nakuwa na commercial surplus. Kwa hali ya sasa duniani hasa kwa kuzingatia mabadiliko ya hali ya hewa hii ni missed opportunity ya sisi kuwa supplier within our region and perhaps the world at large
Lakini pia inatupaswa tukumbuke kuwa modern agric ya kutumia machine haipunguzi ajira bali kuongeza. Hapa ndipo nakubaliana pia na mchambuzi. Mfano, Marekani na nchi kama Canada wanatumia machines lakini hiyo haijazuia sekta ya kilimo kuajiri. Ingelikuwa Wamarekani wazawa wanapenda kujishughulisha na kilimo basi hata Unemployment isingekuwa hapo ilipo.Kazi hiyo wamewaachi Wamexco.In fact it is a big industry south border. Ukiangalia remittance ya Wamexco utaweza kukubalina nami. Hata marekani bado reseach na vitu vinavyoambatana na kilimo vinatoa ajira nzuri tu.
Niseme kuwa matumizi ya machine yanahitaji human input kwa namna yoyote iwavyo. Kuna limitation na hapo ndipo manpower inapohitajika kuanzia research, planners, operators of machine, suppliers wa vitu kama fertilizers na shughuli zote za kijamii na kiuchumi zitokanazo. Nadhani kuwa, bado katika nchi yetu tunahitaji kilimo kama sehemu ya kupunguza tatizo la ajira, iwe kama tulivyo au kwa kutumia machines.