Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

kufundisha binadamu sio sawa na kufundisha historia na unapochanganya haya mambo ndio matokeo yake ni haya tunayoyaona...isitoshe jamii yetu inachukulia poa tu kuhusu noble professions

Sasa kama ukienda muhas,kcmc,bugando,muce na Duce wengi pale ni Div 3 div 1 na 2 nadra sana haya ndio matokeo yake.. aliyefeli amfundishe mtoto wako au kijana wako. Mfumo wa elimu bongo mbovu.

Tangu lini failure awe mwalimu bora au daktari bingwa. Wizi mtupu
 

ww Mwenye akili kuna lipi ulilofanyia Tanzania, bila shaka ni mtoto mdogo wa juzi kutoka m.kama una akili na watu bado wanapelekwa India, huoni kuwa ww ni taahira?
 
kufundisha binadamu sio sawa na kufundisha historia na unapochanganya haya mambo ndio matokeo yake ni haya tunayoyaona...isitoshe jamii yetu inachukulia poa tu kuhusu noble professions
"Noble professions" ni mbwembwe za enzi za ujima kabisa "stigamatized and uncivilized barbarians" ndio wanatumia hii lugha!!!!

Yaani we na degree yako moja ujinasibu mbele za watu kuliko professor wa lugha, au CPA holder???!!!

Angalia upya mtazamo wako wa maisha!!!
 
Kweli IMTU wamechemsha maana hata SUA sijaona viungo vya Ng'ombe au Mbuzi vikiwa vimetupwa kama walivyofanya wao.
 

ha ha ha!! yaani wewe daktari ukijiona kama fundi makenika ndio matokeo ya kutupa viungo kama vyuma chakavu.

Unatakiwa kutembea,kuvaa,kuongea na kutenda kidaktari wakati wote wewe sio mkandarasi wa binadamu bali ni daktari
 

Unawajua maprofesa wangapi Tanzania??!!
Unajua historia zao???!!
 
kufundisha binadamu sio sawa na kufundisha historia na unapochanganya haya mambo ndio matokeo yake ni haya tunayoyaona...isitoshe jamii yetu inachukulia poa tu kuhusu noble professions

Mkuu nimekufatilia tangu Mwanzo unavyoweka DR wa binadamu kama vile ulitakiwa kusoma peke yako au wanaotakiwa kusoma niwale walioshushwa moja kwa moja kutoka mbinguni haya mnayoyasema mbona ni tofauti kabisa makazini vijina kutoka vyuo vingine Imtu wakiwemo wanapiga kazi za maana tu,wako vijana nawajua hapo Muhimbili,Mwananyamala,Temeke na Amana ndio tegemeo wametoka hapo ukibisha nakutajia by names waliopo Muhimbili acha kupotosha watu,tatizo lililotokea pale Imtu nilakiuongozi zaidi kuna matatizo yake hasa management nasi upande wa walimu na Academic issue.
 
Nimefatilia huu mjadala nilichogundua nikwamba aidha wanaojadili wame graduate kwenye chuo wanachoamini ni kizuri lakin mpaka sasa hana ajira au anatafuta umaarufu nae aonekane amesoma kumbe elimu haijamsaidia chochote.
 
fortunately it is aseptic meningitis!

You wait to be diagnosed; is viral one sceptic???!!!
You have some manifestations that suggest a CNS disorder so rulling out sepsis is not a guarantee that you are safe and sound!!!!!
 

hakuna MD5 anaefundisha MEDICINE! usizungumze vitu vya kufikirika, kuna watu nawafahamu wako sehemu husika, we sema Md5 yupi na anafundisha nini?
 
Mleta mada unaonekana kuwa na mawazo ya kizamani yaliyokwisha kupitwa na wakati,

Badala ya ku focus kwenye tatizo ambalo halihusiani kabisa na Academics za wanafunzi hawa likiwemo hili la Negligence iliyofanywa na IMTU administration unaishia kuwashambulia wanafunzi wasiokuwa na hatia.

Kwa mawazo yako hayo finyu nimeshapata kujua wewe ni mtu wa aina gani pamoja na dharau zako zilizopitiliza unaonekana kuwa mtu usiyependa kuona mwingine amesoma na kufanikiwa katika hii field ya Afya, sasa sijui ulitaka familia yenu peke yenu iwe na madokta hata sijakuelewa,.

Acha majungu yasiyokuwa na tija, fanya kazi kwa bidii uendeshe maisha yako na familia kama unayo.
 

pole sana mkuu kama ulisoma hapo IMTU,lakini hii haiondoi ukeli wa kwamba IMTU ni chuo cha kata.
Na mimi nitakwambia kuna medical attendant ana uwezo mkubwa sana wa kufanya ORIF lakini hiyo haijatosha kumuita daktari...huu msemo wa kwamba huku kwenye field tuko vizuri ni nonosense.kama wewe ni mkweli utaweza kugundua hata yale mabaki yanaonyesha cadaver wale hawakupasuliwa kwa kiwango cha kitaalamu!!
 


Mkuu vijana kama hawa sio wa kuwashauri ila ni kuwaacha tu hata humu jukwaani huwa wanajikwaa na kuangukia pua.
Huyu ni mwanafunzi au fresh graduate hivyo bado anaamini sana hisia na historia binafsi na anaona inatosha kabisa kufanya majumuisho!!!!!
 

kuna thread humu inaonyesha kuwa chuo hiki kilitakiwa kufungwa mpaka kifikie kiwango...haya nayo ni majungu??
amini nakwambia hilo la juzi ni dogo lakini yawezekana kuna mengi mabaya pale sasa kama tutaweka masikio nta basi likitokea jingine tusiamshane na kelele za picha katika watsapp
 

jamaa ana reasoning mbovu kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…