Bomu la ajira

Kweli chief umesema kweli. Jiwe kapoteza Vision statement ya mahali anapopeleka taifa, watu hua sielewi wanasifia nini hii serikali? Na sehem kubwa ya watu wanaosifia utendaji kazi wa jiwe ni wazee ambao elimu hawana tofauti na ya kutambua wajukuu zake. Ila kundi la watu waliosoma wanaelewa jamaa kaleta uozo nchini.

Ningekua mkuu wa jeshi mimi, ningepindua hii nchi mana naona ududu mwingi. Ningepindua nchi. Ila ndy hivy Uwezo sina nabaki tu ku-comment huku JF. Sema ndy hivyo, watu wanajiangalia kwanza
 
Hahahaha ungekuwa Mkuu wa Majeshi ungemuondoa jiwe et!

Lakini utamuondoaje aliyekupa hicho cheo na unajua tena sisi binadamu huwa tuna asili ya kulipa fadhila kwa aliyekupandisha juu
 
Sipangiwi, ukinipangia ndio unaaribu kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…