technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,634
- 58,272
Hahahahahhaha acha utani basi pls tunataka hoja za kusaidia hii sector ya Elimu..Kipaumbele chețu ni kunuñua ndege cash
Praise the lord
Hapo tu ndo nimeona JPM hamna kabisa aisee....yaan unakamua watu mpak machinga na mikopo juu ili ufanikishe miradi ambayo ni secondary na sio primary....hli la vijana kusota mtaa nalifahamu kabisa kuna vijana mtaani mpak wanatia huruma aisee..wamemaliza degree za ualimu wapo tuu na ni watoto wa maskini kwel kweli, bora hata sie tuliopata channel za harakat za mtaa na degree zetu za tourism....Unatoa elimu Bure kuanzia darasa la kwanza mpaka form four...
Unatoa mkopo chuo kikuu miaka mitatu..
Unamwandaa kijana awe mwalimu na sio fani nyingine yeyote....
Kijana anamaliza degree hana kazi yupo mtaani unategemea akafanye kazi gani?.....
Si ni bora wangeandaliwa walimu wachache wanaoweza kuajiriwa kirahisi?.....
Tukiongea tunaambiwa wapiga dili hasa mtu kusoma kutoka darasa la kwanza mpaka chuo kikuu unafikiri anakuwa kapoteza kiasi gani cha pesa za serikali na za wazazi je izo pesa zinarudi vipi kama ni jobless?..
Tufike wakati tuwe na uchungu kwa vijana wanaosoma kwa shida kiukweli ni mateso ..
Serikali itoe ajira watu warudishe mikopo walipe kodi wengine wasome kama hatutoi ajira maana yake kuna muda utafika hata pesa ya kukopesha wanafunzi itakosa...
Serikali imetengeneza walimu walio mtaani 91,000 na mwezi wa saba wengine wanamaliza wewe unatoa ajira 4500 ambao hata 10% haifiki ..
Halafu wanafunzi hawana walimu uko shuleni wanakaa chini .
Walimu waliopo hawalipwi vizuri tuwe na uchungu jamani mambo haya ndio mambo ya msingi tuwe na hofu ya Mungu.
Akiba ya pesa tunaambiwa ipo si tuwape wadogo zetu ma watoto wetu kazi ?
Kodi sasa hivi si inalipwa kwa wakati sasa shida nini kuwapa kazi wadogo zetu na watoto wetu...?
Hata mkisema mimi sio mzalendo au mimi ni mpiga dili sawa tu nimeshazoea ila nitaongea ukweli mpaka naenda kaburini...
View attachment 1056404
We hataki kabsa hyo kitu ninyi watoto wa cku hz mnahoji kila kitu na yy hataki kuhojiwaJiwe angetakiwa afanye kama waliomtangulia. Kila mwisho wa mwezi, Rais anazungumza na Taifa kupitia Tv na redio. Kipind kile nakumbuka tunafatlia kipind kupitia ITV kila saa 3 usiku. Angefanya hivy angalau angeongeza agenda za kushughulika nazo vizur ili mwsh wa mwez aongeleee na kila kipande cha maisha ya watu kingeguswa na siyo kukaa anavyokaaa tu saiv akijisikia kuwa kweny magazet,anajiachia tuu
Ajira sio bomu kwa muono wangu, ila "uipotezea" na kuchukulia poa nguvu kazi ya vijana na akili zao kuzalisha ili kukuza uchumi ni hasara kubwa.Unatoa elimu Bure kuanzia darasa la kwanza mpaka form four...
Unatoa mkopo chuo kikuu miaka mitatu..
Unamwandaa kijana awe mwalimu na sio fani nyingine yeyote....
Kijana anamaliza degree hana kazi yupo mtaani unategemea akafanye kazi gani?.....
Si ni bora wangeandaliwa walimu wachache wanaoweza kuajiriwa kirahisi?.....
Tukiongea tunaambiwa wapiga dili hasa mtu kusoma kutoka darasa la kwanza mpaka chuo kikuu unafikiri anakuwa kapoteza kiasi gani cha pesa za serikali na za wazazi je izo pesa zinarudi vipi kama ni jobless?..
Tufike wakati tuwe na uchungu kwa vijana wanaosoma kwa shida kiukweli ni mateso ..
Serikali itoe ajira watu warudishe mikopo walipe kodi wengine wasome kama hatutoi ajira maana yake kuna muda utafika hata pesa ya kukopesha wanafunzi itakosa...
Serikali imetengeneza walimu walio mtaani 91,000 na mwezi wa saba wengine wanamaliza wewe unatoa ajira 4500 ambao hata 10% haifiki ..
Halafu wanafunzi hawana walimu uko shuleni wanakaa chini .
Walimu waliopo hawalipwi vizuri tuwe na uchungu jamani mambo haya ndio mambo ya msingi tuwe na hofu ya Mungu.
Akiba ya pesa tunaambiwa ipo si tuwape wadogo zetu ma watoto wetu kazi ?
Kodi sasa hivi si inalipwa kwa wakati sasa shida nini kuwapa kazi wadogo zetu na watoto wetu...?
Hata mkisema mimi sio mzalendo au mimi ni mpiga dili sawa tu nimeshazoea ila nitaongea ukweli mpaka naenda kaburini...
View attachment 1056404
Amen Man Of GodPraise the lord
TumejipangaKipaumbele chețu ni kunuñua ndege cash
Tatizo watanzania wengi tena waliotumia kodi za wananchi na kupata elimu hawana maono na nchi yao, wanaongoza nchi inayolea watanzania wenzao bila hata kutafakari . Ajira hakuna, secta binafsi zinazotemewa na walalaoi wengi( shule ,vyuo na viwanda) vinafungwa , bei ya vifaa vya ujenzi znapanda, wafanyakazi hawaongezewi mishahara, walimu hawapandi madaraja, Halafu mtu kirahc tu anaama chama kuunga juhudi na akijua kabsa kabsa kodi za wananch wlalahoi znaenda kutumika kwa Mara ya pili bila sababu ya msingi, Mtu anaandaa maandamano kumpongeza ununuzi wa ndege hata hajui hatapanda lini. MUNGU SAIDIA TANZANIA MY COUNTRY.Unatoa elimu Bure kuanzia darasa la kwanza mpaka form four...