Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Dah! Iyo familia naijua vizuri kilichoandikwa ni ukweli mtu maeneo ya kimara bekari inasikitisha zaidi ya kusikitisha jamani alafu hiyo nyumba ipo mbali sana na bara bara zaidi ya mita 90 inashangaza barabara kufika huko nashindwa kuielewa hii sarikali jamani ivii hawa viongozi wanajiskiaje kufanya uwonevu wa hali ya juu kwa wananchi wake? Nawakumbusha tu cheo ni thamana ipo siku isiyo na jina utaulizwa juu ya watu uliyowaongoza tujaribu kuwa na utu wa kibinadamu izi sheria tunazitunga wenyewe lakini muda mwingi tuwe na utu hii dunia tunapita tu
Mwananchi na Citizen na magazeti ya wageni kutoka nchi jirani ambao kimsingi japo haiko wazi lkn hatupo vizuri nao kwa sana.
60 per side...
Hata waliompigia kura wanalia kama mbwa mwizi.Hakika huu utawala umelaaniwa pamoja na anayeuongoza.Kutoka 60m mpaka 120m na halipwi mtu!!!Iko siku yao na watakufa midomo wazi kwa kuwanyanyasa walio wafanya wao wakawa vinyago.
Unakijua lakini ulichokiandika au unaota?
Sijui hata hizo mita 120 wanataka wazifanyie nini, ukiangalia hasara wanayopiteza wananchi+gharama za kuja kujenga hizo mita 120 kila upande = Ni afadhali kujenga flyover katika mita 60 kama mwanzo. Tatizo sheria zinapitishwa kishabiki kisa mkuu kasema, basi wabunge wetu wa CCM wao ni kupitisha tu. Dunia ilishahama kwenye matumizi ya barabara kuwa pana, siku hizi ni flyover na underground tunnel.Kwakweli ili la mita 120 kila upande ni jambo la kuwaumiz watu maana ilikuwa 60
Mlidhani ni watumishi tu ndio wanaoisoma namba! Awamu hii ni wote mapaka akitoka pale avunje rekodi ya kua Raisi bora aliyewaumiza wananchi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Iyo familia naijua vizuri kilichoandikwa ni ukweli mtu maeneo ya kimara bekari inasikitisha zaidi ya kusikitisha jamani alafu hiyo nyumba ipo mbali sana na bara bara zaidi ya mita 90 inashangaza barabara kufika huko nashindwa kuielewa hii sarikali jamani ivii hawa viongozi wanajiskiaje kufanya uwonevu wa hali ya juu kwa wananchi wake? Nawakumbusha tu cheo ni thamana ipo siku isiyo na jina utaulizwa juu ya watu uliyowaongoza tujaribu kuwa na utu wa kibinadamu izi sheria tunazitunga wenyewe lakini muda mwingi tuwe na utu hii dunia tunapita tu
Shetani naye anashangaaa!!! maana hata ipite miaka elfu (1000) barabara haiwezi kufika kwenye hizi frem za huyu mhanga. serekali ingeacha tu watu waendeleekuishi jamani!!! mpaka tufikie hayo maendeleo kha!
Msaga sumuMlipenda wenyewe kujenga karibu na barabara ili muonekane wajanja sasa cha moto mnakiona
Sent using Jamii Forums mobile app
We hay,awani una hata kibanda cha tembe kweli?
Mawazo yako na ya mkulu hayana tofauti.Sioti, najuac economy ya Tanzania ilivyokuwa, najuwa bei ya nyumba Tanzania ilikuwa ya vichekesho. Wakati economy ya nchi na bei za nyumba zilikuwa haziendi Pamoja. Kuna Mtanzania gani mwenye kipato cha kawaida anaweza kujenga nyumba nyumba ya billioni moja? Hakuna, either mpiga dili au ameajiliwa nje ya nchi. .