Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
- Thread starter
-
- #41
Wamezirai kabisa bora wangefumba macho wangefumbua hata jicho moja wakaona shida tunayopatapole ndugu, ila kwa hili la bomoabomoa, watanzanioa wengi wa hali duni wameathirika kwa kiasi kikubwa, hawana pa kwenda na serikali ndo kwanza imefumba macho
niuzie..Alafu nivipeleke wapi?
Nani kakwambia mwenye haliduni anauwezo wakujenga ukijenga hata kwa kuunga unga wewe unahelapole ndugu, ila kwa hili la bomoabomoa, watanzanioa wengi wa hali duni wameathirika kwa kiasi kikubwa, hawana pa kwenda na serikali ndo kwanza imefumba macho
Uje uvichukue unipe helaniuzie..
Kwa maana nyingine wanaobomolewa wote ni ukawa kwenye sheria hakuna chamapole, chaguo lenu wenyewe, wavimbe wapasuke, mtajijua wenyewe, ccm mbele kwa mbele
sijajua unapatikana eneo gani, nina uhitaji wa bati pamoja na mbao ama papi,Uje uvichukue unipe hela
Wanasema hawataki hata kumsikiaUmaarufu wa makomeo unashuka kwa kasi ya ajabu
Ili ufurahi?Wafanye haraka zoez linasuasua xana wamalizie fasta zilizobaki bana aahh..
Huyo makomeo acha ushuke ila magufuli yupo juuUmaarufu wa makomeo unashuka kwa kasi ya ajabu
Poleni sana sanaa. Ccm ni mashetani, waliwatumia Wasanii na sasa wamewatupaWadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoa bomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio, kweli tunaisoma namba.
Hakuna cha ccm wala ukawa wote tunaisoma namba, wao waliambulia madela na mafulana na 5000 wakati wa kampeni lakini sasa hivi tunalia woteKwa maana nyingine wanaobomolewa wote ni ukawa kwenye sheria hakuna chama
Umeambiwa nyumba zaidi ya 10, 000 kuvunjwa unafikiri atalalamika wastara peke yake?Wewe ni Wastara? Maana na yeye analalamika vivyo hivyo! Timu Kibajaji
Wakati wa uchaguzi mliambiwa mita 200 mkalia sana mkataka 0 mita....leo mita 600 mnaona mbali sanaMwanzo walisema mita 60 lakini sasa hii zaidi ya mita 600 hawazingatii sheria ni kama wanafanya ushabiki na kukomoana
Sasa sibora wameambulia madela fulana na hela juu wewe vyote umekosa na nyumba inabomolewa juu wewe unaumia mara mbiliHakuna cha ccm wala ukawa wote tunaisoma namba, wao waliambulia madela na mafulana na 5000 wakati wa kampeni lakini sasa hivi tunalia wote
Haloo we acha tu ila namba tunaisoma woteSasa sibora wameambulia madela fulana na hela juu wewe vyote umekosa na nyumba inabomolewa juu wewe unaumia mara mbili
Yani haya mambo ya mita sitaki hata kusikiaWakati wa uchaguzi mliambiwa mita 200 mkalia sana mkataka 0 mita....leo mita 600 mnaona mbali sana