Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Mwanzo walisema mita 60 lakini sasa hii zaidi ya mita 600 hawazingatii sheria ni kama wanafanya ushabiki na kukomoanaPole... pole sana... Hakuna haki hapo!! wamebaki kusema eti "SHERIA"... Very Sad !!
Mwanzo walisema mita 60 lakini sasa hii zaidi ya mita 600 hawazingatii sheria ni kama wanafanya ushabiki na kukomoana
Usawa wa mtoMita 600 kutoka wapi?
Nyumba zitakavunjwa tabata ni nyingi sana, mwanzo walisema mita 60 kutoka usawa wa mto msimbazi lakini hawazingatii hilomita 600,.....? kutoka wapi....?
Makosa yapi mkuu?Poleni. ..tunajifunza kutokaba na makosa
Kwa ccm yote yanawezekanaWanavunja kambi za wakimbizi. Huwezi mfanyia mpiga kura wako hivyo.
Hakuna kuvunja sheria kisingizio mpiga kuraWanavunja kambi za wakimbizi. Huwezi mfanyia mpiga kura wako hivyo.
Makosa yapi mkuu?
Una uhakika na unachokisema?Kujenga bila kufuata taratibu za mipango miji
Hakuna serikali chizi kiasi hicho sema kila muwamba ngoma huvutia kwake kama kweli unaushahidi siyo mita 60 umelalamika wapi wewe bomoa tu chanika yapo mapori kibao kiwanjwa laki mbiliNyumba zitakavunjwa tabata ni nyingi sana, mwanzo walisema mita 60 kutoka usawa wa mto msimbazi lakini hawazingatii hilo
Bondeni hakuna utetezi wewe bomoa tuKwa ccm yote yanawezekana
Tatizo sio utetezi au kubomoaBondeni hakuna utetezi wewe bomoa tu
Wala sio mada ya kubishana sababu hayajakukutaHakuna serikali chizi kiasi hicho sema kila muwamba ngoma huvutia kwake kama kweli unaushahidi siyo mita 60 umelalamika wapi wewe bomoa tu chanika yapo mapori kibao kiwanjwa laki mbili